Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Mission kama ile ya kuteka kituo cha radio na tv mbele ya cctv camera.Inaonekana ni akili ileile na watu ni walewale.Same shit different day.Joyce Wowowo na baba yake watakuwa wanajua.Yaani mkuu ile utekaji hata mtoto wa std7 anaweza akawazidi akili....
Unakwenda kuwa chukua watu usiowajua??
Unakwenda na Noah yenye siti7, afu mpo watano?? So una siti2 tu tupu.
Unachukua watu wanne, unamchukua na houseboy unawaacha wasanii wengine hapo nje??
Unachukua tv....... What was your mission....