isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 824
Kama anakifahamu kuswahili [emoji1] [emoji1]Bibi unapenda hizo za kurekebisha.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anakifahamu kuswahili [emoji1] [emoji1]Bibi unapenda hizo za kurekebisha.....
My take,
Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??
Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.
Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo uatakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
Heading isomeke ".............tupo pamoja nae"
Swadakta. Muda utaongea.Hata siwezi kubet. Kuna mambo mengi hapo yanahusika. Huenda wanaogopa kuongea ukweli maana wametishiwa kuuwawa kamawataongea ukweli. Au wanaweza wakawa wamepewa mamilioni ili wasiongee ukweli. Yote hayo yapo. Tusubiri. Ila ROMA ni jasiri sasa tusikilize ujasiri wake atauonesha pua kesho?. Bashite na vibaka wake wataishia kubaya sana. Muda utaamua
Kama watakuwa wameshiriki..... Imekula kwa Wengi.
Nlipata mstuko na Roma alikuwa anasema bila kuficha anamshukuru ruge I was ruge? How mbona boss wake wa tongwe sio ruge.....nikasema kuna picha kubwa nyuma ya pazia
What next ...?....ukiijua tz haikupi shida .Bashite hachelewi kukudhoofisha au kukupoteza. Kwa yaliyomkuta Manji simshauri Ruge kujiingiza ktk vita na Bashite
Ruge hkuenda tongwe,aliend kituo cha polis oysterbayInawezekana Bashite katengeneza huo Mchezo ili suspect wa kwanza awe Ruge wapate pa kumfanyizia Kama Manji!
Kama Mtu wa kwanza kupigiwa Simu na kufika eneo la Tukio alikuwa Boss Ruge na si boss wa Tongwe records Basi hapo Ruge bila ya kujijua kishaingia kwny 18 za Makonda maana watajifanya kumtikisa Kama Shahidi/ Mtuhumiwa wa Tukio
Mkuu, kwa hiyo Ruge anapaswa kuwa ndani akiisaidia police. Kwamba inawezekana yeye ndo mhusika mkuu ambae alisuka huu mpango Mzima ili kumchafua mtu fulan lakin issue imebuma,My take,
Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??
Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.
Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo uatakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
Heading isomeke ".............tupo pamoja nae"
Kwahiyo Ruge anawajua watekaji...Haya ngoja tusubili hiyo jumatatu..
wanaume tunakuaga majasiri kabla hatujapata familia na wategemeziHata siwezi kubet. Kuna mambo mengi hapo yanahusika. Huenda wanaogopa kuongea ukweli maana wametishiwa kuuwawa kamawataongea ukweli. Au wanaweza wakawa wamepewa mamilioni ili wasiongee ukweli. Yote hayo yapo. Tusubiri. Ila ROMA ni jasiri sasa tusikilize ujasiri wake atauonesha pua kesho?. Bashite na vibaka wake wataishia kubaya sana. Muda utaamua
Siku zote watu wanalalamika humu JF juu ya involvement ya Ruge (Clouds Media) kusambaratisha wasanii wa fleva kwa kuwatumia kama mapunda wao. Wakikuchoka wanakulostisha kwa njia zao, mbona marehemu Ngwea aliwachonga sana hawa jamaa? Ruge akamatwe na ahojiwe, huyu si mtu poa hata kidogo.....ni jangili kiaina.....wasanii wengi wanamlalamikia chini chini kuhofia maisha yao na kulostishwa kisanii.
Hebu tupe clue...Ukweli huu utakuudhi, kwani sivyo unavyofikikir.Ila usiwaponde [emoji16]