MIKERA MECH. ENGINEERING
Senior Member
- Mar 15, 2016
- 118
- 87
Albert Mangwea = Ruge
Roma mkatoliki = Ruge
Ruge ndie wa kwanza kuwapata na amekuwa nao tangu asubuhi......Mmmhhhhh!!!!
Wataalamu wa intelijensia mtusaidie.
RC alithibitisha upatikanaji kabla ya jumapili Kisha hasimu wa RC anawapata mateka na kuwa nao tangu alfajiri??????
Hii gemu sio nyepesi nyepesi .....
Albert Mangwea alipofariki wa kwanza kuripoti taarifa zake ndio aliesemwa na kutuhumiwa kuhusika lakini ilipotea tu na kuyeyuka hadi leo....
Kazi kweli kweli