Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Roma: Boss Ruge amehangaika na sisi kuanzia asubuhi mpaka sasa tupo pamoja naye

Hawawezi kueleza walikuwa wapi zaidi ya kusema tunaliachia jeshi la Police lifanye kazi yake.
Kama huamini 'tubet' kiongoz.
Hata siwezi kubet. Kuna mambo mengi hapo yanahusika. Huenda wanaogopa kuongea ukweli maana wametishiwa kuuwawa kamawataongea ukweli. Au wanaweza wakawa wamepewa mamilioni ili wasiongee ukweli. Yote hayo yapo. Tusubiri. Ila ROMA ni jasiri sasa tusikilize ujasiri wake atauonesha pua kesho?. Bashite na vibaka wake wataishia kubaya sana. Muda utaamua
 
My take,

Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??

Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.

Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo uatakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
Heading isomeke ".............tupo pamoja nae"
Ukijua itakusaidia nini?
 
mimi jamn sjaelewa hapo kuhusu kutajwa kwa ruge na mnayoyaongea???
mimi nilivyosikia kuwa walipatikana saa 9 usiku so na kwa kuwa j murder alimuomba boss rg amsaidie basi ndo maana akasaidia nao tangia asubuhi na ndo maana ametajwa kiivo

ebu nisaidieni kwa mlio elewa zaidi ya hapo jinsi ya ku connet dots
Wanatuchezea akili yetu kama wanajua walipatikana toka sa tisa kwa sirro walienda kufanya nini asubui ile
 
Hata siwezi kubet. Kuna mambo mengi hapo yanahusika. Huenda wanaogopa kuongea ukweli maana wametishiwa kuuwawa kamawataongea ukweli. Au wanaweza wakawa wamepewa mamilioni ili wasiongee ukweli. Yote hayo yapo. Tusubiri. Ila ROMA ni jasiri sasa tusikilize ujasiri wake atauonesha pua kesho?. Bashite na vibaka wake wataishia kubaya sana. Muda utaamua

Pia inawezekana hata Watekwaji wameshiriki kwny Hilo Igizo. Mbongo sio Mtu wa kuwekewa dhamana, can do anything!
 
Pia inawezekana hata Watekwaji wameshiriki kwny Hilo Igizo. Mbongo sio Mtu wa kuwekewa dhamana, can do anything!
Kwa kifupi kuna kila aina ya Maelezo hapo. Ila ukweli wanaujua watekwaji pekee. Wakificha watakuwa wamewavunja moyo watanzania waliojitoa kupaza sauti kwa ajili yao
 
Kama watakuwa wameshiriki..... Imekula kwa Wengi.

Inawezekana Bashite katengeneza huo Mchezo ili suspect wa kwanza awe Ruge wapate pa kumfanyizia Kama Manji!

Kama Mtu wa kwanza kupigiwa Simu na kufika eneo la Tukio alikuwa Boss Ruge na si boss wa Tongwe records Basi hapo Ruge bila ya kujijua kishaingia kwny 18 za Makonda maana watajifanya kumtikisa Kama Shahidi/ Mtuhumiwa wa Tukio
 
Ruge kaka tutoe gizani tufahamu hawa watu walikuwa wapi na walitekwa na nani? au uliwakuta wapi?? Mpka mtu anasema watapatikana kabla ya jumapili,naomba utasaidie kaka ruge hawa watu walitekwa na nani???
 
Back
Top Bottom