Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufeni tu Mburura nyieBashite bado anatumia vyeti feki na anapokea mshahara haramu na kuteka watu twafwaaa
Pale O'bay kuna bunduki nyingi sana.Harmorapa na yeye hakuja kutoa pole...???[emoji134]
Manji hakuwa anapambana na Bashite tu kumbuka ila msimamo wa manji umemsaidia vinginevo gari lake lingechukuliwa na bashiteBashite hachelewi kukudhoofisha au kukupoteza. Kwa yaliyomkuta Manji simshauri Ruge kujiingiza ktk vita na Bashite
Kumbe alitaka kumfanyia mchezo alomfanyia Nas Haulage?Manji hakuwa anapambana na Bashite tu kumbuka ila msimamo wa manji umemsaidia vinginevo gari lake lingechukuliwa na bashite
Mkuu huwezi kumparamia Manji bila kuwa na baraka za watu wenye ufikiri sawa na wa kwake. Acha movie iendelee kusongaKumbe alitaka kumfanyia mchezo alomfanyia Nas Haulage?
Afu Manji alikuwa anapambana na nani tena zaidi ya Bashite?
Baada ya kuunganisha dots hebu lete sentensi kamili ndugu mkuu sanaNaanza kuunganisha doti kianzia kuwataja drug dealers, kutobalnce story YA bishop, kuvamiwa studio, kuandaa mkutano na waandishi wa habari baada YA kutenguliwa uwaziri na kutekwa kwa roma, Naanza kupata picha kamili
Ngoja nimalize kuunganisha nipate picha kamiliBaada ya kuunganisha dots hebu lete sentensi kamili ndugu mkuu sana
Utani tag mkuu. Mimi nimepoteza channel zangu baada ya Ruge kuhusika kuwa beneti na Roma hiyo Jana kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati wanaachiwa.Ngoja nimalize kuunganisha nipate picha kamili
hahaha alikuwa hajielew kumbe?Kwa kua Ruge saivi naona kashaanza kujielewa naamini kama anajua chochote kuhusu wakina Roma hataficha
My take,
Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??
Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.
Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo uatakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
Heading isomeke ".............tupo pamoja nae"
Itakua mission ya kibashite hii kama ile ya Clouds iliyofailYaani mkuu ile utekaji hata mtoto wa std7 anaweza akawazidi akili....
Unakwenda kuwa chukua watu usiowajua??
Unakwenda na Noah yenye siti7, afu mpo watano?? So una siti2 tu tupu.
Unachukua watu wanne, unamchukua na houseboy unawaacha wasanii wengine hapo nje??
Unachukua tv....... What was your mission....
My take,
Roma anaweza akawa amepigwa biti asiseme alikuwa amefichwa wapi, lakini naamini Ruge ndiye mtu sahihi wa kumuhoji hawa madogo walikuwa wapi??
Kama alihangaika nao kuanzia asubuhi ya Jana mpaka usiku ni wazi kuwa anajua aliwahangaikia wapi na kwa Muda gani. Ruge kwenye hili wewe ndo utasema ukweli.
Ombi:
Ruge Kama utafanya lolote kumuokoa yeyote kwenye hili Tope, Muda ndo uatakaoamua mustakabali wa biashara yako.
[HASHTAG]#kumbukauvamizi[/HASHTAG]
Heading isomeke ".............tupo pamoja nae"