herzegovina
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 3,143
- 4,724
Kama kakimbia Nchi basi nadhani ndio muda mzuri wa kuanika kila kitu kuhusu kutekwa kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameamua kuitumia fursa ipasavyo, walimtengenezea mazingira, na sasa ameyatumia ipasavyo.Happy new year 2020 wanaJF
Kwa kitendo hiki kama ni kweli kulingana na nilivyosikia, basi nchi yetu imefikia pabaya
Msanii wa Hip hop Roma Mkatoliki baada ya kutoa ule wimbo wake "Naitwa roma" unaohusu maswala ya siasa za hapa nchini hususani zinamrengo wa kuipinga serikali, msanii huyo sasa amekimbia nchi kwa kuhofia usalama wake kufuatia kutoa kibao hicho
Roma Mkatoliki kwa sasa amekimbilia nchini Marekani akihofia kukamatwa, kutekwa, na kuuliwa na serikali hii ya Rais Magufuli
itakumbukwa miaka ya nyuma msanii huyo alitekwa na kuumizwa vibaya, mpaka sasa waliofanya tukio hilo ni watu wasiojulikana
Nahoji kama Mtanzania wa kawaida, haki ya mtanzania kuishi katika nchi yake hapa inatazamwa vipi?
Uhuru wa kujieleza na kukosoa hapa nchini ni wa kitabaka tu? Yaani CCM ndio wanahaki ya kuukosoa upinzani pekee?
Sidhani kama Marekani Ni wajinga hivyoHakuna anayemtafuta au hata kumtisha maisha yake hapa Tanzania, amekaa hapa muda wote hata baada ya hoja ya kutekwa bila kuguswa na yoyote. Uhamiaji wa marekani wana mtandao mpana kujuwa nani yuko hatarini, nani ni mbabaishaji. Muda utaongea.kiasi hicho...Hata huko mauaji na udharirishwaji wa watu weusi umekithiri, licha ya mapambio kuwa ndio kwenye haki na demokrasia iliyotukuka
!!!