Tetesi: Roma Mkatoliki akimbia nchi, sasa anaishi uhamishoni

Kama kakimbia Nchi basi nadhani ndio muda mzuri wa kuanika kila kitu kuhusu kutekwa kwake.
 
Ameamua kuitumia fursa ipasavyo, walimtengenezea mazingira, na sasa ameyatumia ipasavyo.
Nina imani akina Tundu pia watafuata mkondo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimbabwe imekuwa marekani alisema ataenda Zimbabwe?????


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ametumia opportunity tu ya kwenda kutafuta huruma ya wamarekani wampe ugali wa kila siku. Ila tukumbuke vya bure vina gharama. Mpeni huu ushaurii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnaombea, mnatamani Sana nchi ichafuke iwe na mauaji..!

Nawashangaa Sana, hiking sio kitu cha kuombea kabisa. ngoja yatupate tuanze kuwa wakimbizi.
 
Sidhani kama Marekani Ni wajinga hivyo
 
Utakuwa Mangekimambi kamshauri aende Marekani,Nakumbuka post yake moja alimwambia akimbilie Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…