Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Mwakyembe nae ni mwathirika wa hile kuwa akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa..
 
He is trying to instill common sense that mr Phd does not have
Sure
FB_IMG_1573890013567.jpeg
 
Alafu nilazima mkumbuke kijana anamlenga mtu mwingine kabisa wala sio hao tunawafhani. Sio waziri wala sio rais ila kuna mtu anamlenga. End
Bashite ndiye aliyelengwa. Huyo kakurupuka kumshukia Roma,na ndiyo tunaanza kutilia shaka hicho ki PhD chake anachoringia.
 
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"

Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Huyo ndo mwakyembe anaye shadadia uendelevu wa ndoa za watoto wa umri chini ya miaka 18. Ana degree 2x2
 
Waziri wangu Mwakyembe, sikupenda ulivyokuwa unajimwambafy na elimu yako! tunakujua uu msomi mzuri sana.
Watakuuliza elimu yako imewanyia nini wa Tz. sijui utasemaje.
 
Nimeupenda mstari huu..........'UNAPIGA BOMU MOCHWARI UNAJISIFU UMEUA"

Huyu jamaa ni zaidi ya PhD ya waziri mwenye degree nne.
[emoji16][emoji16][emoji16] Dogo yupo vizuri_mziki wake hauna maslahi lakini unaishi

Mimi nimependa pale aliposema "Ubora wa ndama ndio hulipa zizi la ng'ombe uhakika"

Na "Kuna waliotumbuliwa kuhusu vyeti mwaka mmoja kabla ya kustahafu"

Hii ya mwisho imenigusa, sana kama ni kweli serikali yapaswa kuwaangalia hao jamaa haijalishi kwa lolote wawape stahiki zao
 
"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"

Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Kuna kusoma na kuelimika halikadhalika kuna kusoma ili kuhitimu. Hao ndiyo wengi tulionao yaani waliosoma kwa kuhitimu huku vichwa vikiwa wazi. Hebu ajaribu kujiathmini juu ya elimu yake kwenye jamii ni alama gani kaiweka ili imuenzi??
 
Hiyo sio hoja unaweza ukapasua hiyo GPA kubwa lakini bado tu ukawa mjinga.

Wewe in your perspective, unaweza ukamuona wa maana lkn mwingine akamuona bogus. That's normal.

Ila kwa uzoefu uliyozoeleka, msomi yeyote akiwa ccm kamwe he can't excel kwani hutakiwi kuonekana unashamiri kuliko m/kiti kwa kila kitu. You must toe the party line.
Kweli kabisa,ukienda huko akili zinakombwa wanabakishiwa za kuvukia barabara tu na kusifia.
1572191514899.jpeg
 
Roma mimbo yake inafundishwa kwenye Vyuo vikubwa duniani.

Fasihi jinsi inavyoweza kuchochea mijadala mikubwa ya kukosoa jamii.

Dr mwakyembe amejishusha kujibu jibu Kama la mtu asiye dokta.

Viva Roma Viva zimbabwe
Upambe unamponza hadi anaonekana kituko
 
Hayo maneno akamwambie Kasheku Msukuma, mbona anamhanya huyo darasa la saba! Ila msameheni huyo msomi kuna wakati sumu inapanda kichwani.
 
Kweli Roma kamuibua huyu hamnazo!

Ujue Roma ana power kuliko maelezo ni pale mwenye degree 4 anang’ang’ana kumjibu mwenye degree moja!

Na Roma ana degree moja,Mwakyembe aache kudanganya umma!

Roma nilikaa nae pale Mabibo Hostel!

Mwakyembe kashikwa kende!

Hatari sana aisee!
hicho kipande kinasemaje cha huyo dg4
 
Roma arudi shule jamani

Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika

Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Ww ambae hujui chochote nhsu muzk ungemshaur aimbe kuhsu nn?
 
dah heshima kitu cha bure kweli wahenga walinena, Tatizo la Watanzania tuliowengi tunapenda sana kuwa wanyonge ndio mwishowe yanatokea kama haya ya kudharau wengine tukisahau Mungu alituumba kila mtu na kipaji na task zake duniani hapa.. Sasa huyu kwakuwa ana PHD anaamini kila kitu alipaswa kuwa nayo na kama hana ni mzembe, very interested went to school but not educated..

Mzee anasahau kwamba akina diamond ni darasa saba lakini wanamfanya asilale na inamlazimu kwenda kwenye matamasha yao, Mzee anasahau zaidi ya watanzania 60% darasa la saba ndio ndio wanamlipa mshahara na kuchangia elimu yake kupitia kodi zao..
 
Back
Top Bottom