Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Mzee anataka kusikia nyimbo kama zile sijui zinaitwa UNO..Waziri anataka waimbe Mambo ya Sodoma hatar sana.
SureHe is trying to instill common sense that mr Phd does not have
Bashite ndiye aliyelengwa. Huyo kakurupuka kumshukia Roma,na ndiyo tunaanza kutilia shaka hicho ki PhD chake anachoringia.Alafu nilazima mkumbuke kijana anamlenga mtu mwingine kabisa wala sio hao tunawafhani. Sio waziri wala sio rais ila kuna mtu anamlenga. End
Huyo ndo mwakyembe anaye shadadia uendelevu wa ndoa za watoto wa umri chini ya miaka 18. Ana degree 2x2"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
[emoji16][emoji16][emoji16] Dogo yupo vizuri_mziki wake hauna maslahi lakini unaishiNimeupenda mstari huu..........'UNAPIGA BOMU MOCHWARI UNAJISIFU UMEUA"
Huyu jamaa ni zaidi ya PhD ya waziri mwenye degree nne.
Machokoraa toka majalalaniMwakyembe anawakikisha wasomi wa ccm!
Kuna kusoma na kuelimika halikadhalika kuna kusoma ili kuhitimu. Hao ndiyo wengi tulionao yaani waliosoma kwa kuhitimu huku vichwa vikiwa wazi. Hebu ajaribu kujiathmini juu ya elimu yake kwenye jamii ni alama gani kaiweka ili imuenzi??"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?"
Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Achana na hilo batamzingaMkuu naomba ufafanuzi amedanganywa na wanasiasa wapi?
Kweli kabisa,ukienda huko akili zinakombwa wanabakishiwa za kuvukia barabara tu na kusifia.Hiyo sio hoja unaweza ukapasua hiyo GPA kubwa lakini bado tu ukawa mjinga.
Wewe in your perspective, unaweza ukamuona wa maana lkn mwingine akamuona bogus. That's normal.
Ila kwa uzoefu uliyozoeleka, msomi yeyote akiwa ccm kamwe he can't excel kwani hutakiwi kuonekana unashamiri kuliko m/kiti kwa kila kitu. You must toe the party line.
Unawapeeenda mabeberuWanaotumika na Mabeberu Mkuu
Upambe unamponza hadi anaonekana kitukoRoma mimbo yake inafundishwa kwenye Vyuo vikubwa duniani.
Fasihi jinsi inavyoweza kuchochea mijadala mikubwa ya kukosoa jamii.
Dr mwakyembe amejishusha kujibu jibu Kama la mtu asiye dokta.
Viva Roma Viva zimbabwe
hicho kipande kinasemaje cha huyo dg4Kweli Roma kamuibua huyu hamnazo!
Ujue Roma ana power kuliko maelezo ni pale mwenye degree 4 anang’ang’ana kumjibu mwenye degree moja!
Na Roma ana degree moja,Mwakyembe aache kudanganya umma!
Roma nilikaa nae pale Mabibo Hostel!
Mwakyembe kashikwa kende!
Hatari sana aisee!
Ww ambae hujui chochote nhsu muzk ungemshaur aimbe kuhsu nn?Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini