Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Waziri wangu, degree zako 4 umezitumiaje kuleta changes ktk jamii tukianzia na kule Kyela kwako?
 

Acha kabisa..... they should be rewarded.

Wanasaidia sana kuirekebisha serikali.
 
Una akili mbovu ambayo haijawahi kuonekana humu JF tangu kuanzishwa kwake
 
Juma Nkamia mbunge wa Chemba Kondoa aliwahi kumtaka mwenye degree 4 awe anafikiria kabla ya kufanya Jambo na hiyo ilikuwa baada Roma kupatikana kutoka kwa watekaji pale mzee 4 degree alipo jitokeza kumzuia Roma asitaje watekaji
 
Huyu jamaa alishawahi kulikana andiko lake mwenyewe.
 

Mwakyembe huyu siyo yule wa Richmond.

ccm ni kapu la samaki waliooza----Lipumba.

'Wanapiga bomu mochwariw wanajisifu wameua"
 
Huyu Mwakyembe hajui kuwa madaraka hulevya!!!? Maneno haya ni uthibitisho kuwa Mwakyembe Ni mlevi wa madaraka.Hivi degree zinaleta busara!!!? Hata hivyo ukiwa kwenye Chama Cha Maibilisi (CCM), huhitaji degree yoyote kwa jambo lolote!!!
 
Aibu nimeona mimi
 
nikiwa chuoni mkufunzi wangu alipenda sana kutupatia hili swali kila monthly test. ""unaweza ukasoma usielimike, na unaweza ukaelimika pasipo kusoma, jadili. ""hii hoja naiona leo kwa mwakyembe, amesoma ila hajaelimika. Roma hajasoma ila ameelimika.
 
Hekima ni kati hazina kubwa hapa duniani.Waziri Mwakyemmbe umeteleza,iombe msamaha jamii,mambo yaishe.
 
Mwakyembe ile sumu imemvuruga akili nadhan waliomuwekea sumu walikuwa na lengo la kufanya zuzu na sio kumuua
 
Yaani CCM hata ikiongewa shudu gani lazima itapata watetezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…