Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Le Mutuz ana degrees 7! Kueni serious basi!. Le Mutuz muongea takataka ana degrees 7!!
Kama ni kweli there's something wrong with our education system.
 
Unaweza ukawa na degree hata zaidi ya 7 kama mugabe lkn ujaelimika.Mtu yeyeto aliyeelimika abagui ushauri.
 
I like it it's true but take the reality.kwa tz watu wanaona degree ni kigezo kikubwa hata kwenye wakati hata hizo degrees no non performing shameful
 
Nimesikitika sana Wazir kusema maneno ,mwakyembe ni very intellectual anadhani amesoma yeye tu hapa duniani....et alimuuliza T-sewage kama wao wanaimba siasa....sewage akamjib siasa hailip, Kwan Roma anaimba siasa au anaimba kufurahisha jamii,kuonya pale inapobid na kuburudisha...Mwakyembe akumbuke msanii ni kioo cha jamii ...Prof Jay na wimbo wake wa Ndiyo mzee na siyo mzee ungeimbwa leo Mbona CCM ingeweweseka sana .
 

Attachments

  • CBr_3ms0olvjS_Y6.mp4
    1.5 MB
Kuna watu wanajiona ni wasomi lakini ni watu waliotumia miaka mingi kukaa darasa lwakatoka wakiwa wendawazimu na wajinga zaidi kuliko wale ambao hawakupoteza muda wao mwingi kukaa madarasani.

Kusoma kunatakiwa kukupe uwezo wa kutenda mambo ambayo wale wasiosoma hawana uwezo wa kutenda. Watu kama akina Mwakyembe wamekaa miaka mingi madarasani lakini wakatoka wajinga kuwazidi baadhi ya wenye elimu ya msingi.

Miaka yao mingi ya kukaa darasani hakuna chochote cha maana walichoongeza katika jamii. Wamebakia kuwa wataalam wa kunukuu kazi za watu wengine tu! Unaambiwa kuwa hii ni paper ya Mwakyembe lakini humalizi hata page 1 bila ya kukutana na nukuu za wasomi wa kweli. Halafu bado na yeye anajiita msomi.

Kuna wakati unajiuliza, hivi tuna maprofesa kwa sababu tuna watu wenye uelewa wa kiprofesa au tuna maprofesa kwa sababu tunaamini kila nchi na kila chuo kikuu ni lazima kiwe na maprofesa?
 
Kwa kauli hii,basi hizo ulizonazo siyo degree ni makaratasi,umeonyesha ulivyo empty kichwani
 
CCM wenyewe licha ya kujidai kuwa na wanaojiita wasomi lakini kwenye Siasa propaganda wanawategemea Livingston lusinde kibajaji musukuma cyprian Musiba Joseph yona na wenzao akina Daud Bashite wasio na vyeti.
 
YouTube,shangazi wa mtoto wa bilionea msuya anamwambia mtoto Wa kaka yake una kidiploma chako huwezi simamia mali mimi na phd.Sasa hizi elimu za kukariri darasani na uhalisia wa maisha wapi na wapi.
Kuwa na maphd haimaanishi kwamba umeelimika watu wanazo lkn hata kujieleza,kujitambulisha,kutetea hoja wako zero kabisa,sasa hivo phd zina wasaidia nn zaidi ya kuwa walimu wenye Maisha magumu vyuoni.
 
Nimekuelewa!

Hata Ph.D za mjengoni humtumia Kibajaji ambaye ni mhitimu wa darasa la 4 kuwasilisha hoja zao.....wenyewe wanaogopa!
CCM hata kwenye hujuma zao nyingi humtumia Daud Bashite asiye na vyeti
 
!
!
Dah Hizi Elimu Za Kukariri Ndio Tabu Yake. Nilijua Angeongelea Maeneo Ambayo Aliongoza Na Kuleta Matokeo Kumve Anajisifu Uwezo Wa Kufundisha
 
Johnthepabtist kumsifia asiye na elimu na kumdharau aliye na elimu, inaonesha ni kwa namna gani bado tuna safari ndefu!
 
Point mkuu
 
Johnthepabtist kumsifia asiye na elimu na kumdharau aliye na elimu, inaonesha ni kwa namna gani bado tuna safari ndefu!
Kwani elimu ni nini bwashee?

Tuanzie hapo maana iko tofauti kati ya kuelimika na kukaririshwa fikra za wasomi weupe!
 
Johnthepabtist kumsifia asiye na elimu na kumdharau aliye na elimu, inaonesha ni kwa namna gani bado tuna safari ndefu!
Elimu CCM haina umuhimu ndiyo maana Daud Bashite licha ya kutokuwa na vyeti lakini ndiye mshauri mkuu wa mtukufu malaika toka chato, CCM huwa hawajali hiyo safari ndefu
 
Elimu CCM haina umuhimu ndiyo maana Daud Bashite licha ya kutokuwa na vyeti lakini ndiye mshauri mkuu wa mtukufu malaika toka chato, CCM huwa hawajali hiyo safari ndefu
Vipi kuhusu elimu ya Mtukufu Mbowe? Lema je? Sugu? Pro. Jay? Ahahahah! minyoo umenikumbusha msemo wa "nyani haoni ......."!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…