Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Acha uzembe. Google utapata CV yake. Ukiishaangalia ya Dr. Mwakyembe, google na ya Freeman Mbowe uone vichekesho!!!
 
Tundu Lissu ulishawahi kumsikia wapi anajinadi na elimu yake na kujidai kuwa hawezi kukosolewa na darasa la saba?
Ngoja tumnyooshe huyu anayejidai ana digrii nne za ufala...

Mara nyingi Tundu Lisu amejigamba, tena mbele ya Bunge alisema Majaji wa JMTZ ni vilaza na hawajui Kiingereza wakati hata yeye hajui vizuri pia.
 
Enzi za akina Mwakyembe chuo kikuu kilikua kimoja nchi nzima , kuingia chuokikuu moja kwa moja ilikua shunguli wakati wa akina roma mkatoliki vyuo kibao shule kibao yeyote anasoma tu akiamua.huwezi linganisha shule enzi ya mwakyembe na enzi ya romamkatoliki.
 
Hahahaaa....... Najazilizia CV ya Dr Mwakyembe!
Kwa mtizamo wako huo, believe me, huhitaji kuona CV ya Harrison George Mwakyembe.
Dr. Mwakyembe ni kichwa cha kuotea mbali.
Hana elimu ya kuunga unga.
Kwenu ninyi wadogo yapo ambayo hamyajui.
Baada ya Azimio la Arusha na kuanzisha Jeshi la Kujenga Taifa, ilikuwa ni lazima kufanya kazi miaka 2 kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu.
Ulitolewa mwanya maalum wa kujiunga na mafunzo ya shahada ya Udaktari na Uhandisi tu kutokana na uhaba uliokuwepo kwa kada hizo mbili.
Wengine wote iliwalazimu kufanya kazi miaka 2 kabla ya kwenda University.
Harrison Mwakyembe alipelekwa kufanya kazi Chuo cha Uandishi wa Habari, TSJ, kama Mkufunzi, ambako aliamua kusoma Upaparazi, kabla ya kuanza kuufundisha.
Na huu ni ushahidi tosha kuwa alikuwa kichwa!
Lakini kwa kumalizia, SIASA ni mdudu wa ajabu ambao Mbunge Kasheku Msukuma ni super star kuliko msomi mwenye digrii 4.
Huku duniani, mwenye digrii 4 ni kibarua cha mwenye darasa la saba.
Dr. Mwakyembe aache ulimbukeni na atambue kuwa nje ya kufundisha vyuoni, digrii 4 hazina umuhimu wowote.
 
Kujazia CV.......haimaanishi Mwakyembe siyo kichwa!
 

Kifupi povu lako ni nini?
ulisoma KLF au HKL ?
 
Acha kujitetea hapa!! upate A& B kwenye Chemistry na physics then form 3 usome HKL inamaana unapenda sana kiswahili!!! HKL ni wastani wa fifty fifty tu!
 

Na unadhani tutaamini ni kweli ukisemacho?

Lies!
 
Tundu Lisu wenu mnayemsifia pia alisoma hiyo hiyo arts hkl, hivyo ni kilaza pia kumlinganisha na Roma?
We kibwengu ukisikia jina la Lissu unapagawa. Kwanzs sio HKL ni HGL lakin pia kwakukusaidia pitia kdg Multiple intelligence theory
 
Wasomi wa Tanzania ni mzigo sana nasikia tu professor fulan ila kinacho toka kwa huyo PhD hasara tupu


Kwa mfano tu

Pr mwakyembe

Pr lipumba

Pr kabudi
 
Nilifaulu masomo yote nikachaguliwa na walimu wa shule yangu ya kata kujiunga sayansi wakati haikuwa ndoto zangu. Nikapiga O level nikaenda A level sayansi nikawa sisomi kabisa yani sivutiwi. Mwishoni nikafaulu lakini nikaenda kulekule nilikopenda tokea mwanzo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…