Unataka tuweke ufaulu wake hapa. Si utakimbia
hgl- history, geog, literature
hkl-history, Kiswahili, literature
Tofauti iko wapi kati ya hao wawili?
Tofauti kuna mtu kagonga Geography umo kakutana na miamba. mwingine kapika uswahili history na english
[emoji23][emoji23][emoji23]Hoja ni kwamba Mwakyembe kasoma hkl hivyo huwezi kumfananisha na Roma, lkn Tundu Lisu kasoma arts pia kama Mwakyembe, hivyo haijalishi ufaulu kwa mujibu wa mleta Mada Tundu Lisu ni kilaza ukimlingnisha na Roma aliyesoma PGM!
Mara nyingi Tundu Lisu amejigamba, tena mbele ya Bunge alisema Majaji wa JMTZ ni vilaza na hawajui Kiingereza wakati hata yeye hajui vizuri pia.
Huyo ROMA alifeli chuo akakimbilia muziki!Utoto mwingine huu hapa. Roma alifika wapi na masomo ya sayansi Mwakyembe kafundisha vyuo vikuu na wanafunzi wake wanajulikana.
Siiungi mkono arrogance ya waziri lakini sioni mantiki ya kujiliwaza kwa kusema eti Roma alisoma kombi ngumu..so what??.
...sasa hao majaji ni darasa la saba?
Mbona unajibu hoja kifala fala, nadhani unastahili kupigwa kofi la pua ili uelewe namna ya kujibu!
...nilichouliza Lissu ulishawahi kumsikia akiwadharau watu wenye elimu ya kiwango cha darasa la saba?
Zaidi yeye huwa anawanyoosha hao wanaojifanya maprof na wenye elimu ngazi ya digrii nne nakuendelea ambazo huwa zinawapumbaza na kuandika makitu ambayo yeye aliyaita "profeshino rabishi"...
Huwezi kumlinganisha mtu mwenye shahada ya uzamivu na mwalimu wa shule ya sekondari hata kama huyo mwalimu alisoma masomo ya sayansi.Huyo ROMA alifeli chuo akakimbilia muziki!
Ushawahi msikia Tundu Lissu anadharau elimu za wengine? Huyo mgonjwa wenu watu wanamshukia kwa tambo zake za kishamba.Tundu Lisu wenu mnayemsifia pia alisoma hiyo hiyo arts hkl, hivyo ni kilaza pia kumlinganisha na Roma?
Huyu kasoma HGL siyo HKLUnataka tuweke ufaulu wake hapa. Si utakimbia
Kabisa.Huwezi kumlinganisha mtu mwenye shahada ya uzamivu na mwalimu wa shule ya sekondari hata kama huyo mwalimu alisoma masomo ya sayansi.
Lissu ana ufaulu mkubwa sana wa masomo ya sayansi kwa O levelHoja ni kwamba Mwakyembe kasoma hkl hivyo huwezi kumfananisha na Roma, lkn Tundu Lisu kasoma arts pia kama Mwakyembe, hivyo haijalishi ufaulu kwa mujibu wa mleta Mada Tundu Lisu ni kilaza ukimlingnisha na Roma aliyesoma PGM!
| Salutation | Hon. | Member picture | ||
| First Name: | Dr. Harrison | |||
| Middle Name: | George | |||
| Last Name: | Mwakyembe | |||
| Member Type: | Elected Member | |||
| Constituent: | Kyela | |||
| Political Party: | Chama Cha Mapinduzi | |||
| Office Location: | P.O.Box 9423, Dar Es Salaam | |||
| Office Phone: | +255 782 242 526 | |||
| Office E-mail: | hmwakyembe@parliament.go.tz | |||
| Member Status: | Active | |||
| Date of Birth | 10 December 1955 | |||
| Kituli Primary School - Shinyange | CPEE | 1964 | 1968 | Primary School |
| Tukuyu Primary School - Rungwe | CPEE | 1961 | 1962 | Primary School |
| Ndembela Primary School | CPEE | 1963 | 1964 | Primary School |
| Milambo High School | ACSEE | 1973 | 1974 | Secondary School |
| Tabora Secondary School | CSEE | 1969 | 1972 | Secondary School |
| Tanzania School of Journalism | Diploma (Journalism) | 1975 | 1977 | Diploma |
| University of Dar es Salaam | Bachelor of Laws (LL.B) Hons | 1980 | 1983 | Bachelor |
| University of Turin - Italy | PostGraduate Certificate in Intellectual Property | 2001 | 2001 | Postgraduate Diploma |
| University of Dar es Salaam | Master of Laws (LL.M) | 1984 | 1986 | Masters Degree |
| University of Hamburg (FRG) | Master of Laws (LL.M) | 1990 | 1991 | Masters Degree |
| University of Hamburg (FRG) | Doctor of Laws | 1992 | 1995 | PhD |
| Ministry of Works | Deputy Minister | 2010 | To Date | |
| The Parliament of Tanzania | Member - Kyela Constituency | 2005 | 2015 | |
| Zanzibar Government | Commissioner | 2001 | 2005 | |
| East African Community | Member of Parliament | 2001 | 2005 | |
| University of Dar es Salaam | Head, Department of Constitutional Admin. Law | 1999 | 2002 | |
| University of Dar es Salaam | Senior Lecturer in Law | 1998 | 2005 | |
| University of Dar es Salaam | Head, Department of International Law | 1997 | 1999 | |
| South Law Chambwers Advocates | Advocates (Hight Court of Tanzania) | 1996 | 2002 | |
| University of Dar es Salaam | Lecturer in Law | 1991 | 1997 | |
| University of Dar es Salaam | Assistant Lecturer in Law | 1986 | 1990 | |
| University of Dar es Salaam | Tutorial Assistant in Law | 1984 | 1986 | |
| Tanzania News Agency (SHIHATA) | Journalist | 1978 | 1980 | |
| Information Services Division | Jounalist | 1977 | 1977 | |
| Chama Cha Mapinduzi - CCM | Member - National Executive Committee (NEC) | 2006 | 2010 | |
| Chama Cha Mapinduzi - CCM | Youth Commander - Dar es Salaam | 2004 | 2009 | |
| Chama Cha Mapinduzi - CCM | Law Advisor | 2001 | 2005 | |
| Dr. H. Mwakyembe: Tanzania's 8th Constitutional Amendments & Its Implications on Constitutionalism (2000) | Democracy & The Union Question, LIT Publishers, Hamburg, Germany. | 1995 | ||
|
|
Waje tu,binafsi hawanitishi kitu.[emoji3][emoji3][emoji3]
Wanakuja
Unafananisha mtu aliyesoma MAP na aliyesoma MOFIMU?Tundu Lisu; hgl- history, geog, literature.
Mwakyembe; hkl-history, Kiswahili, literature.
Tofauti iko wapi kati ya hao wawili?
HGL ni tofauti na HKL,fuatilia.Tundu Lisu; hgl- history, geog, literature.
Mwakyembe; hkl-history, Kiswahili, literature.
Tofauti iko wapi kati ya hao wawili?
Jikite kwenye madaTundu Lisu wenu mnayemsifia pia alisoma hiyo hiyo arts hkl, hivyo ni kilaza pia kumlinganisha na Roma?