Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Unataka tuweke ufaulu wake hapa. Si utakimbia

Hoja ni kwamba Mwakyembe kasoma hkl hivyo huwezi kumfananisha na Roma, lkn Tundu Lisu kasoma arts pia kama Mwakyembe, hivyo haijalishi ufaulu kwa mujibu wa mleta Mada Tundu Lisu ni kilaza ukimlingnisha na Roma aliyesoma PGM!
 
hgl- history, geog, literature
hkl-history, Kiswahili, literature

Tofauti iko wapi kati ya hao wawili?

Tofauti kuna mtu kagonga Geography umo kakutana na miamba. mwingine kapika uswahili history na english
 
Hoja ni kwamba Mwakyembe kasoma hkl hivyo huwezi kumfananisha na Roma, lkn Tundu Lisu kasoma arts pia kama Mwakyembe, hivyo haijalishi ufaulu kwa mujibu wa mleta Mada Tundu Lisu ni kilaza ukimlingnisha na Roma aliyesoma PGM!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mara nyingi Tundu Lisu amejigamba, tena mbele ya Bunge alisema Majaji wa JMTZ ni vilaza na hawajui Kiingereza wakati hata yeye hajui vizuri pia.

...sasa hao majaji ni darasa la saba?
Mbona unajibu hoja kifala fala, nadhani unastahili kupigwa kofi la pua ili uelewe namna ya kujibu!
...nilichouliza Lissu ulishawahi kumsikia akiwadharau watu wenye elimu ya kiwango cha darasa la saba?
Zaidi yeye huwa anawanyoosha hao wanaojifanya maprof na wenye elimu ngazi ya digrii nne nakuendelea ambazo huwa zinawapumbaza na kuandika makitu ambayo yeye aliyaita "profeshino rabishi"...
 
Hakuna tofauti yoyote ile.

HGL na HKL ni kitu kile kile tu!
 
Utoto mwingine huu hapa. Roma alifika wapi na masomo ya sayansi Mwakyembe kafundisha vyuo vikuu na wanafunzi wake wanajulikana.

Siiungi mkono arrogance ya waziri lakini sioni mantiki ya kujiliwaza kwa kusema eti Roma alisoma kombi ngumu..so what??.
 
Ungeweka ya Roma kwanza ndiyo ungekuwa NGUVU yakujadili ya mheshimiwa
 
Utoto mwingine huu hapa. Roma alifika wapi na masomo ya sayansi Mwakyembe kafundisha vyuo vikuu na wanafunzi wake wanajulikana.

Siiungi mkono arrogance ya waziri lakini sioni mantiki ya kujiliwaza kwa kusema eti Roma alisoma kombi ngumu..so what??.
Huyo ROMA alifeli chuo akakimbilia muziki!
 
...sasa hao majaji ni darasa la saba?
Mbona unajibu hoja kifala fala, nadhani unastahili kupigwa kofi la pua ili uelewe namna ya kujibu!
...nilichouliza Lissu ulishawahi kumsikia akiwadharau watu wenye elimu ya kiwango cha darasa la saba?
Zaidi yeye huwa anawanyoosha hao wanaojifanya maprof na wenye elimu ngazi ya digrii nne nakuendelea ambazo huwa zinawapumbaza na kuandika makitu ambayo yeye aliyaita "profeshino rabishi"...

Dharau ni dharau, kama unadharau watu ambaye mmesoma Chuo kimoja, fani moja na mmehitimu kwa vigezo sawa vilivyowekwa na nchi ni sawa tu na dharau nyingine yoyote ile.

Unawezaje kusema Jaji wa JMTZ hajui kiingereza wakati wote mmepitia njia moja? Kama ni hivyo na yeye hajui pia.
 
Hoja ni kwamba Mwakyembe kasoma hkl hivyo huwezi kumfananisha na Roma, lkn Tundu Lisu kasoma arts pia kama Mwakyembe, hivyo haijalishi ufaulu kwa mujibu wa mleta Mada Tundu Lisu ni kilaza ukimlingnisha na Roma aliyesoma PGM!
Lissu ana ufaulu mkubwa sana wa masomo ya sayansi kwa O level
 
Cv ya mwakyembe The great Dr
SalutationHon.
Member picture
1394.jpg
First Name:Dr. Harrison
Middle Name:George
Last Name:Mwakyembe
Member Type:Elected Member
Constituent:Kyela
Political Party:Chama Cha Mapinduzi
Office Location:P.O.Box 9423, Dar Es Salaam
Office Phone:+255 782 242 526
Office E-mail:hmwakyembe@parliament.go.tz
Member Status:Active
Date of Birth10 December 1955
Kituli Primary School - Shinyange
CPEE​
1964​
1968​
Primary School​
Tukuyu Primary School - Rungwe
CPEE​
1961​
1962​
Primary School​
Ndembela Primary School
CPEE​
1963​
1964​
Primary School​
Milambo High School
ACSEE​
1973​
1974​
Secondary School​
Tabora Secondary School
CSEE​
1969​
1972​
Secondary School​
Tanzania School of Journalism
Diploma (Journalism)​
1975​
1977​
Diploma​
University of Dar es Salaam
Bachelor of Laws (LL.B) Hons​
1980​
1983​
Bachelor​
University of Turin - Italy
PostGraduate Certificate in Intellectual Property​
2001​
2001​
Postgraduate Diploma​
University of Dar es Salaam
Master of Laws (LL.M)​
1984​
1986​
Masters Degree​
University of Hamburg (FRG)
Master of Laws (LL.M)​
1990​
1991​
Masters Degree​
University of Hamburg (FRG)
Doctor of Laws​
1992​
1995​
PhD​
Ministry of WorksDeputy Minister
2010​
To Date​
The Parliament of TanzaniaMember - Kyela Constituency
2005​
2015​
Zanzibar GovernmentCommissioner
2001​
2005​
East African CommunityMember of Parliament
2001​
2005​
University of Dar es SalaamHead, Department of Constitutional Admin. Law
1999​
2002​
University of Dar es SalaamSenior Lecturer in Law
1998​
2005​
University of Dar es SalaamHead, Department of International Law
1997​
1999​
South Law Chambwers AdvocatesAdvocates (Hight Court of Tanzania)
1996​
2002​
University of Dar es SalaamLecturer in Law
1991​
1997​
University of Dar es SalaamAssistant Lecturer in Law
1986​
1990​
University of Dar es SalaamTutorial Assistant in Law
1984​
1986​
Tanzania News Agency (SHIHATA)Journalist
1978​
1980​
Information Services DivisionJounalist
1977​
1977​
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember - National Executive Committee (NEC)
2006​
2010​
Chama Cha Mapinduzi - CCMYouth Commander - Dar es Salaam
2004​
2009​
Chama Cha Mapinduzi - CCMLaw Advisor
2001​
2005​
Dr. H. Mwakyembe: Tanzania's 8th Constitutional Amendments & Its Implications on Constitutionalism (2000)Democracy & The Union Question, LIT Publishers, Hamburg, Germany.1995

Mi sioni haja ya kubishania elimu,Mara cv,kwenye inshu ya Dr. Mwakyembe alizingua kuhusu kukosolewa,lkn awam hii viongoz serikalini hasa wenye elimu kubwa wameshindwa kutumia elimu yao ktk kuipeleka nchi vzr,zaidi ya kulinda vibarua vyao,mf. Pr kabudi,pr lipumba n.k
 
Back
Top Bottom