Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Tunazitambua degree zote 4 bali hoja yetu ni kwamba alitokea kwenye HKL na baadaye diploma ya uandishi wa habari .
 
Watu walikua wakisema yule ni SHIHATA means mmbea...[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe Mh. Yupo kwenye fani yake sikujua alipitia uandishi wa habari. Hongera zake.
 
Chuo kimoja halafu watu wachache kinyama halafu wanasomeshwa mpaka nje bure bila mikopo ya kibaguzi
 
HGL ni tofauti na HKL,fuatilia.


Tofauti pekee ipo kwenye Kiswahili-Geog, lkn haisemi chochote kuhusu IQ ya mtu, anayefaulu hkl atafaulu hgl pia na kinyume chake, na ndo maana wote wanastahili kusoma Sheria, na zote ni arts!
 
Kiburi hicho!! uchaguzi mkuu unakuja tutapeleka kyela hayo!!
 
Lissu ana ufaulu mkubwa sana wa masomo ya sayansi kwa O level


Weka hapa masomo makubwa ya Sayansi aliyofaulu kwa ukubwa, na kwa nini alichagua/pangiwa arts kama alikuwa mzuri kwenye Sayansi? Nijuavyo mimi wengi huenda arts baada ya kuona Sayansi/Hisabati ngumu kwao kuna exception lkn no mara chache sana Mwanafunzi mzuri kwenye Sayansi/Hisabati akachagua/pangiwa arts.
 
Mara nyingi Tundu Lisu amejigamba, tena mbele ya Bunge alisema Majaji wa JMTZ ni vilaza na hawajui Kiingereza wakati hata yeye hajui vizuri pia.
Umeshasema majaji kwani hao ni darasa la saba,halafu kwani uongo kuwa hawajui kiingereza?labda nikukumbushe Jaji mkuu alisema mwenyewe aliwafanyia usaili wahitimu wa uwakili 900 mwaka juzi lakini 100 tu ndio waliweza kutiririka kiingereza hizo ni mada mbili tofauti.
 
Chuo kimoja halafu watu wachache kinyama halafu wanasomeshwa mpaka nje bure bila mikopo ya kibaguzi
Pamoja na uchache huo , ratio ya chuo kimoja nchi nzima ilikua haikidhi haja , ukimaliza form six , jeshi mwaka mmoja , internship miaka miwili ndio uende chuo , kuingia sekondari tu mbinde , shule ya sekondari moja inahudumia si chini ya mikoa mitatu,si kazi ndogo , kipindi cha akina mkatoliki , shule kama unaenda kwenye sherehe.
 
Sio kweli mimi nime survive zama zote enzi za mwalimu na saiv ni tofaut sana enz hizo kutokusoma ukiwa na vigezo ni hiari yako tu watu wamesoma sana ulaya bure ila hizi zama zakibepari kusoma ni hela yako tu hata vile vyuo vya mawizara kama ualimu na kilimo sikuiz kupata chance ni mtiti ,jkt enzi hizo watu wanakamatwa kwanguvu sikuhiz mpaka kuhonga kwa ufupi tu nikwamba tumekua wengi kuliko facilities
 
ANAITWA ROMAAAAAAAAAAAA-HAKUNA WA KUMSTOPISHA
ROMAAA ROMAA-HAKUNA WA KUMNYAMAZISHA

ZAMA ZAMAA-KAZI KUONGEA, ONGEA KISHA YEYE KUONEA KESHOKUTWA KAPTEAAAA
ANAITWA ROMAAAAAAAAAAAA-HAKUNA WA KUMSTOPISHA
ROMAAA ROMAA-HAKUNA WA KUMNYAMAZISHA
 

Sasa kusema mtu hajui kiingereza ni dharau? Hao wote ni kweli hawajui kiingereza, hata kiswahili!

Hata wewe binafsi hujui kiingereza, hata kiswahili hicho ulichoandika na unachokiongea hukijui! Na huo ndio ukweli.

Dharau anazifanya huyu mshamba eti hawezi kuambiwa kitu na darasa la saba kwa kuwa ana madigrii ya upupu manne... sh£n$& typ€ kabisa!
 
Roma katupa Jiwe Gizani Kwa kupitia fasihi kama tawi la sanaa[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

Kilicho cha Haki kitafika tu kwa mlengwa hata akiwa nyuma ya dunia...
Akiki kubwa ama ni matope
 
Na BASHITE je?
 
Wana UDSM wanazidi kujidhalilisha.

Huyu ni wa JALALANI kabisa
 
Sifa za mtu mwenye kuelewa na kusimamia maadili ni unyenyekevu na utu (humility, humbleness). Kutokuwa na kujigamba au kujipandisha kwa kuwa na kipato au elimu sanifu.
Huwezi kuwa na humility kwa mtu ambaye hajitambui. Wasanii wetu sehemu kubwa, hawajitambui kabisa. Hata mitaani wanaamini wao ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi hii. mItaani ni watu wa kufanya ´vituko wakiamini wana immunity. Njia pekee ya kuwaonesha kwamba siyo muhimu kiasi hicho, ni kuwapa maneno kama hayo ya mwakyembe.

Wengi shule iligoma. Mwakyembe muziki haukuwahi kugoma maana hakuwahi kuujaribu. Wakishajua hilo, they will come down to earth! Tusiwape vichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…