Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Acha
Acha ujinga wewe njoo pm nikupe index no. zangu za form four. Then za kidato cha pili uingie mtandaoni uone.
So hayo majina ya lowasa, mbowe ni shule alizosoma mwakyembe kwenye hiyo CV unayoijaziliza Kama ndoo ya maji au unaongozwa na kifikiria kishabiki tu.[emoji706][emoji706]Hahahaaa....... Najazilizia CV ya Dr Mwakyembe!
Wajumbe wanamkata mtu mwenye digrii nne? Watamwambia nn wakati yy ndo amesoma? Wasomii acheni dharau ndio maana tunafeli na maendeleo yet Ni duniWajumbe nao ambao ni darasa la saba washafanya yao huko