Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Acha

Acha ujinga wewe njoo pm nikupe index no. zangu za form four. Then za kidato cha pili uingie mtandaoni uone.

Inbox wapii?

Weka hapa just in case umechukua ya mtu akukamate vizuri!

Weka hapa!

Hua sikanyagi inbox kabisa,this is a very wrong platform to socialize as such!
 
braza kapaniki ila kamchana kiutuuzima Roma so wanachotaka jamaa aonekane yuko upande upi wa chama ili wajue kumfunga miguu kwakua yeye anatumia mziki kufikisha ujumbe wa wananchi bila kuegemea upande wowote so wananchi wanaupokea kama umetoka kwa mwenzao ndipo kaulizake zinaanza kuwatisha ....hahaha
bushit
 
Sisi kwetu Bima ya Afya n muhimu kuliko ndege.

Sentensi hiyo inahitaji degree yeyote?

Leo kagoma hakuwa ROMA anayezunguza.

Nchi yenu otaangamiza KWA viongoz kupenda sifa na kukosa maarifa
 
Hahahaaa....... Najazilizia CV ya Dr Mwakyembe!
So hayo majina ya lowasa, mbowe ni shule alizosoma mwakyembe kwenye hiyo CV unayoijaziliza Kama ndoo ya maji au unaongozwa na kifikiria kishabiki tu.[emoji706][emoji706]
 
Darasa la saba akikusoa povu!

Darasa la saba akikusifia unakata mauno!

Kuna nini hapo?
 
Wasanii wa jana nao wakaanzishe vyama vyao vya siasa.
 
Back
Top Bottom