Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Roma akili kubwa yule,Sasa waziri anaposema hawezi kuonywa ndio anazidi kudhihirisha kwamba uelewa wake bado mdogo na hizo shahada hazijamsaidia kitu

Ndio maana Jiwe linawashika akili
Wewe unazo ngapi mkuu?
 
Kuwa na GPA kubwa sio guarantee ya kuelemika. Unaweza ukariri na ukafaulu mitihani vizuri tu.
 
kwani MUSIBA ANA ELIMU GANI?
 
Wanasiasa wetu ni wajinga na shule walisomea ujinga....

Fiesta wataambiwa wasimpe ROMA platform
 
roma pia ni DEGREE HOLDER WA CIVIL ENGINEERING
 
Kwa niaba ya wananchi wa Kyela nachukua nafasi hii kuwaomba radhi sana watanzania wote kwa anayoyafanya mbunge wetu .
 
Imemsaidia nini

Mimi naona imemuongezea unafiki tuu
 
Saa Nyingine Viongozi Ninaowateua Hawawasiliani Hivi Ulishindwa Kumwagiza OCD Ampige Pingu Huyo Manager Wa Tanesco Alale Lockup

Wanaotuangusha Ni Wasomi!!!!
 

Mwakyembe huyu huyu aliyeikana Thesis yake ambayo ilimpa hiyo PhD? Au unamzungumzia nani labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…