carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Bwana mwaki katokwa povu lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona hayo ameyatoa kama maoni yake tuu maana kimwonekano hoja yake kiprotokali haina mashiko"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Hakuna wakumnyamazisha Roma
Wape. Waambie ukweli. Kushabikia ujinga hakujawahi kumtoa mtu. Wasanii wote waliotajirika dunian sio wale waliochanganya siasa na sanaa. Wasanii wote dunian kote waliojaribu kuchanganya siasa na sanaa waliishia kubaya sana.
Sanaa haijawahi kuchanganywa na siasa na ikabaki kuwa sanaa.
Mnavochangia jaribun kuwa real kwenye reality. Sio kushabikia vitu ambavyo havijawahi kuwa positive hapa dunian.

Upo sahihiRoma amedanganywa na wanasiasa wabaya tu
Roma achana na siasa nchi ipo shwari na uongozi imara"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Aisee ndivyo unavyofikiriaKwani kufundisha vyuo vikuu ndo kuwa na akili? aliyesema kaokotwa jalalani hakuwa professor wa chuo kikuu kabla ya kuokotwa?Huyu ahurumiwe tu maana ile sumu bado haijaisha