Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

Wasomi ni watumwa kwa wanasiasa hiyo elimu yake bure kabisa kama angetaka kuwa mwenye uelewa angebaki huko huko chuo
 
Mwakyembe toka achoropoke kwenye ile sumu akili zilichoropoka pia
 
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Franco Luambo Makiadi bosi wa TP OK Jazz hata la nne hakumaliza lakini alimpiga dongo kali AG wa Zaire enzi hizo Kengo wa Dondo akamuangushia kibao kinaitwa Tailler (Fundi cherehani). Kengo alimfunga Franco ambaye alitolewa kwa msamaha wa Raisi,katika mwimbo huo Franco alisema "Fundi cherehani tunakuangalia sijui utafanya nini, kwani mwenye sindano yake kaisha ichukua". Hakumtaja jina lakini alipata tabu sana huyo AG kwani kila alipo pita watashi walimwimbia ngoma hiyo baada ya kuondolewa madarakani. Kwa ufupi madaraka yako yasikufanye udharau watu wengine kuna siku utashuka itakuwa soo sana.
Kuna waliokwenda shule lakini wakakosa busara.
 
Hakika alichokisema ndicho ccm na viongozi wake wanavyotuchukulia wananchi hapo kwenye wasanii kapatia kipaza sauti.
 
Kwani Roma amesema anataka kuwa Waziri? Elimu yake inamtosha kufanya kazi yake
 
Hao walioimba za kusifu wala hakuna positive response ya hizo nyimbo zao huku kitaa hila ROMA ametushika fasta.Hao wanaojiona wao ndio wenye Nchi wanapaswa wasome between the lines.ROMA anatrend Na.1 You Tube
Waimbe zá kusifu tu kama walivyofanya Hármonize, Nandy na Beka flavour.
 
Profesa aweza afe hata jamii isijue lakini mchekeshaji anaweza aistue dunia nzima. Kanumba aliliza watu wengi na hakuwa na degree. Mtu huinuliwa na watu kwa nafasi yake na sio vyeti vya darasani
 
Kwani huyu Wazir yeye anayo elimu ya kutushauri?
Si huyu huyu aliyetaka mkioana lazima muwe na vyeti sijui vya kuzaliwa na form 4 huko? Sasa shahada nne za kwa wenzetu achilia hizi walizopeana hapo kwenye kamlima zinawezaje kuwaza hivi?
Unapata wapi ujasiri kuamini huyu mtu ana shahada 4 ukiwaweka na Roma kwa kupitia kazi zao? Roma alichoimba kinastahili shahada 4 kuliko Mwakiembe alichokifanya tangu amekuwa kiongozi.
Ngoja tusikilize song za Roma kuliko kusoma machapisho ya shahada nne za mjinga.
 
Kigwangwala naye kila akikosolewa twitter anakuja na utetezi kuwa ana degree nne. Awamu ya wajinga sana hii
Sijui wazazi wao watakua na digrii ngapi, kama hawataki kukosolewa na wasiokua na digrii, mijitu mingine sijui imetokea wapi. Hao wasio na elimu ndiyo huleta mabadiliko Duniani. Mbona serikali yao inateua mawaziri maprof na maDr na wanakwama wanaanza kulia lia ooooh tumeokotwa matakatakani mara majalalani. Tumbaf kbs
 
Pumbaf Kabisa Mbweha wewe
 
Roma ni Coward and somewhat a🐱

Nitamuheshimu Fatma Karume na Zitto siku zote kwa misimamo yao atakama sikubaliani nao kwenye kila hoja, siasa zao zisizo na tija, too direct and very confrontational; to my liking.

Nitamuheshimu Professor Lwaitama siku zote through his clever ways of criticising the government.

Nitamuheshimu ata Musiba kwa misimamo yake inayopitiliza na kukera.

Lakini mtu kama Roma na asilimia kubwa ya wanasiasa ambao ni cowards design ya Waitara kama ukuweza kusema mbele ya mtu bora usiseme kabisa kuliko usubiri utoke ndio uponde au usifie that’s just a sissy behaviour.
 
Yutaka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…