The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Kuna mahali hata akina Isaac Newton walikosolewa."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
wewe fala kweli kufauli Gpa kubwa kabaki chuo ndio akili kubwa huyo alikuwa anakalili njoo mtaani ndio utajua wanafanya mambo mkubwa walikimbia kukaa huko utumwaniRoma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Basi atulie ajilie posho zake za uwaziri.Bila shaka, msanii
Kwani Roma kakwambia anataka kuwa msanii mkubwa duniani??Wape. Waambie ukweli. Kushabikia ujinga hakujawahi kumtoa mtu. Wasanii wote waliotajirika dunian sio wale waliochanganya siasa na sanaa. Wasanii wote dunian kote waliojaribu kuchanganya siasa na sanaa waliishia kubaya sana.
Sanaa haijawahi kuchanganywa na siasa na ikabaki kuwa sanaa.
Mnavochangia jaribun kuwa real kwenye reality. Sio kushabikia vitu ambavyo havijawahi kuwa positive hapa dunian.
Waziri anataka waimbe Mambo ya sodoma hatar sana.
We boya usitishe wanaumeHuyo Roma naona amechoka kulala na mkewake..ni mpenda sifa za kijinga
Kaisadia nini Dunia wewe... Kusoma kasoma yeye ili apate kula na kuishi yeye na familia yake.. Bakhersa hajasoma kumbuka lakini anamuona mwenye Degree ni Fala tu...
Inamaana Mwakyembe siku akikutana na Yesu atamuambia wewe Yesu hujasoma utanishauri nini? IQ aliyotumia Waziri ni Ujinga... aache kujimwambafai...
Huyo Roma naona amechoka kulala na mkewake..ni mpenda sifa za kijinga
Ninakuelewa, pamoja na kwamba sikubaliani na wewe.Roma amedanganywa na wanasiasa wabaya tu