Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo inayodhaniwa ni akili kubwa digrii nne inapotutaka tuhoji inakuwaje iwe na hofu dhidi ya inayodhaniwa ndogo....Ila sijaskia alipomtaja kwenye hiyo nyimbo
Kisha "pumbavu na majalala vinahusishwa!!!"Ndiyo wasomi wetu Hao "nna degree 4"
Ova
Kwa hiyo hata akikutwa kasahau kufunga zipu na hajavaa kaboka asiambiwe na ngumbaru aachwe tu kwa maana digrii nne zinaficha aibu!!!???"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Ndo ushamjibu hivyo"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Ukiwa na PHD maana yake wewe ni mjuzi wa kitu kumoja tuuu, hapo ndiyo wasomi wetu wanakosea.
Kuona PHD ndiyo Unajua kila kitu ktk dunia Siyo sahihi hata kidogo.
Mwanamuziki ni mwanafasihi ni Kama mwandishi wa kazi za kifasihi anaweza kuandika au kuimba matatizo yanayoikumba Hadhira yake na kujaribu kutoa suluhisho kupitia kazi yake ya kifasihi.Mwambie huyo Dr ampe hai Farouk topan na Tamthiliya zake Aliyeonja Pepo na Mfalme Juha.
Unaweza ukawa na degree 100 lakini you are useless kama Mwakyembe alivyo! Mwakyembe is useless. What matters is what you offer to the society! Roma is doing more good to the society compared to Mwakyembe!"Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Vidigrii vyake vinne havijamkomboa ndiyo maana anachokiweza ni upambe tu."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!
Upambe ndiyo unamuongoza badala ya akili.Ila sijaskia alipomtaja kwenye hiyo nyimbo
Ungetumia hata hiyo akili kiduchu uliyobakishiwa usingeandika huu upuuzi.Roma amedanganywa na wanasiasa wabaya tu
Sasa hiyo gpa yake inasaidia nn ?Roma arudi shule jamani
Mtu anaefundisha au aliwahi kufundisha chuo sio wa kumfananisha na alieishia darasa la saba jamani huo ni ukweli usiopingika
Mwakyembe alipasua GPA kubwa Bachelor akabakizwa kuwa mwanataaluma UDSM huwezi fananisha na Msanii yeyote hapa nchini
Awamu hii ina Rais wa aina yake."Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za kunikosoa. Wewe na darasa la nne lako sijui la 7 utanionya mimi mwenye degree nne na nimefundisha vyuo vikuu mbalimbali?" Dr.Harisson Mwakyembe (PhD), Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo.!