Roma Mkatoliki ni nani?

Roma Mkatoliki ni nani?

Roma aliishia 2015.....

Roma siku hizi anaimba matusi tu....! Ndo nachojua
 
Alikuwa ni mwisilam akadili jina kutoka mussa had adwad baada ya kuingia kwenye ukatorik
Haya tena wewe umekuja na majina mapya ambayo hata hayakutajwa mwanzo...huyu kiumbe ana majina mangapi?
 
Wana jamvi,
In Principle Roma Mkatoliki ni nani?Ni Mkatoliki?Ni muumimni wa Chama Gani cha siasa?Ana mtazamo wa namna gani katika siasa,maisha,n.k.

Nimeuliza swali hili kimsingi hasa baada ya kutafakari mahali nchi yetu ilipofikia na tunakoelekea.Kwa mujibu wa matukio kadhaa yaliyowahi kutokea ha kumhusu Dr.Ulimboka,Kibanda,Roma na wengine ambao wamepata kupitia magumu yatokanayo na mitazamo yao kutofautiana na Watawala.

Maswali ya kitoto kama haya peleka kule facebook na instagram. Kule kuna dot.com kibao watakujibu.
 
Back
Top Bottom