Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa ni mwisilam akadili jina kutoka mussa had adwad baada ya kuingia kwenye ukatorikMbona kuna mahali ametajwa na mkewe kwa jina la Andrew?
Haya tena wewe umekuja na majina mapya ambayo hata hayakutajwa mwanzo...huyu kiumbe ana majina mangapi?Alikuwa ni mwisilam akadili jina kutoka mussa had adwad baada ya kuingia kwenye ukatorik
Wana jamvi,
In Principle Roma Mkatoliki ni nani?Ni Mkatoliki?Ni muumimni wa Chama Gani cha siasa?Ana mtazamo wa namna gani katika siasa,maisha,n.k.
Nimeuliza swali hili kimsingi hasa baada ya kutafakari mahali nchi yetu ilipofikia na tunakoelekea.Kwa mujibu wa matukio kadhaa yaliyowahi kutokea ha kumhusu Dr.Ulimboka,Kibanda,Roma na wengine ambao wamepata kupitia magumu yatokanayo na mitazamo yao kutofautiana na Watawala.