Roma Mkatoliki sasa ameamua kuokoka...anaimba nyimbo za dini

Mnatokwa mapovu buree hii video ameirekodi kitambo sana kabla hajatekwa.
 
Ningekuwa Roma mkatoliki ningechukua familia ningeenda ubalozi wa Marekani kuomba ukimbizi..wanampa kwa kuwa hakuna MTU asiyejua alitekwa na kutishiwa maisha..MTU anayejuana nae ampe Roma huu mchongo...maana kwenye hiphop kuna kitu kinaitwa street credibility ameshaipoteza alivyoshindwa kuwataja waliomteka kwenye ile press....hiphop career yake ilifia pale
 
inaonekana yamemkuta makubwa mpk na Mungu amekumbukwa
hawa jamaa uwasikie tu hivyo hivyo ,.
Itakuwa kuna kiungo wamekitia kasoro maana baada kuwa output wakakageuza kainput ,.
 
Hivi muunganiko wa hichi kilichopostiwa hapa na upinzani ni nini au akili zangu nyembamba hazielewi misemo?
 
Baaada ya kumjua roma nimpinzan au ni mtawala hapo kuna kitu utaelewa napia baada yakujua hawa wanaomkashifu roma niwakinanan na walikua wanataka roma aongee nini nakwann wamemchukia kwakile alichoongea hapo utapata picha tunaongea nn lakin kwaakili ya kawaida kamwe hiwezi kuelewa hii mision wataelewa wale2 wanaoujua huu mchezo ulipotokea mpaka hapa ulipo nawap unaelekea.endelea kuufatilia usipoelewa hutakaa ukaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…