Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mnatokwa mapovu buree hii video ameirekodi kitambo sana kabla hajatekwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa jamaa uwasikie tu hivyo hivyo ,.inaonekana yamemkuta makubwa mpk na Mungu amekumbukwa
Hivi muunganiko wa hichi kilichopostiwa hapa na upinzani ni nini au akili zangu nyembamba hazielewi misemo?Binadam mbaya sana marahii hata huyu kijana alie mstar wambele kuutetea upinzan miaka yake yote mnamtendea namna hii inaogopesha sana.kama je walimdhalilisha kingono mlitaka aje aseme kua aliingiliwa jaman hakuna mwenye ujasir huo.hivo msingemfanyia haya mnayomfanyia kila mwenye uwezo wakuusaidia upizan akiliona hili hawez kuthubutu hata kidogo maana unapendwa dakika moja baada yahapo unaonekana uwozo.da kwel dunia hadaa