Mabadiliko ya kuvamia clouds fm na bunduki na kumtimua kazi waziri aliyebaini uvamizi wa kituo cha habari kwa bunduki??Labda ageuze Yale mashairi aliyokuwa anaimba awamu iliyopita..yaani nyimbo zake azigeuzie bia angani..maana haya mabadiliko ndio aliyokuwa akiyaimba na tulimuunga mkono kwelikweli
Huyo waziri ni mlinzi hapo hadi abaini?? Alivamia aliharibu nini??Mabadiliko ya kuvamia clouds fm na bunduki na kumtimua kazi waziri aliyebaini uvamizi wa kituo cha habari kwa bunduki??
Acha woga weye[emoji57] [emoji57] [emoji115]Ila vijana muwe waangalifu. Msimchukulie poa rais na taasisi yake. You have no idea what they are capable of.
Mbona ww hautoiSisi wadau wa ROMA mkatoliki msanii wa Hip Hop tunatamani sana kusikia na kuona Ngoma mpya kutoka kwako.
Kwa matukio yalivyo sasa naamini una mengi ya kuyazungumzia kwa Kuangalia uongozi wetu wa awamu ya 5. matukio ya Mwafwaaa, Bashite, Kuliwa kwa fedha Za wahanga wa tetemeko, fukuzana ya CCM, hofu ya Chadema(Ukuta), kuongezeka kwa ugumu wa maisha, Tatizo la mikopo, Milioni 50 kila kijiji, Hongera ya kununua Bombardier. Na mengine mengi.
Usiogope Si kawaida yako. Tunakumbuka vibao kama Viva ROMA Viva, Mr. President, Mathematics, 2030, Tanzania, hivi japo havipigwi redioni vinabaki kuwa conscious Music vinaeleza ukweli come on ROMA.
Tunasubiri kibao matata.
========
Msanii ROMA aliwahi kujibu swali hili kwenye interview hii;
Anaimba k siku hizi!!Roma amekuwa sharobaro siku hizi muoga muoga
Yule Dogo umekuwa mlaini sana amezidiwa hata na Harmo Lapagwankaja said:Anaimba k siku hizi!!