Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Tomato please samehe Saba marà sabini.
Nyunyiza ubuyu.
 
kabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?

na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.

mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Kabisa,ulichoandika b4 kuhusu kufungwa USO na kitamba ndicho alichoenda kusema

I CNT wait
Twakusubiri

Na team bashite tunaomba mtulie kama mnanyolewa vile

Naomba uarakishe wasije vamia mitambo ya jf
 
Tomito Tomato shusha press yako, Roma kaogopa kama vile hajui binadamu anakufa mara moja tu na si zaidi ya hapo
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?

Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?

Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?

Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Khaa! Si kwa biti hili...
 
Tomato kumbe ulikuwepo na wewe?
 
kabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?

na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.

mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Kuhusu kuhamishwa hakusema mbona ila hata Mie nawaombea msamaa wale waliokuzingua haya tiririka mkuu
 
Uwiiiiii
Mb ziko za kutosha
Na cm ni full charged

Nina bisi pembeni

797286b0dfa271e179da4dbf4f33d0bd.jpg
 
kabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?

na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.

mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Sema yote msema kweli ni mpenzi wa Mungu nakuaminia
 
Tomato paste yakheee Mb za kujichanga bandugu!

Nchi ishauzwa hii yakhe utasikia ofisi na saver za Jf zimetunguliwa na ndege za kivita za seria na Alshabab, bomb raider OG. Never under estimate Bashite. Usirembe tupe ubuyu fastaaa hata ndege za bomb raider zikija DEAL DONE. Ukiremba ndo itakuwa baaaaaassss tena
 
Mkuu Tomito Tomato wote waliokukashifu na kutoa lugha za dharau ni team bashite wasiojielewa, wasamehe kwani hawajui watendalo.
Mwagika mkuu, hatumwi mtu dukani...
 
Anasubiri aombwe msamaha na washakunaku walioona anuza Chai.

Hao anaowangoja hawamwombi wala nini wana buy time bomb raider zije. Watu wa kolomije wale ubuyu usipomwagika the better. Kama muvi ya kihindi sterling anaenda kumua mtu, anaimba kwanza songi 2 za malavida ndo aue , mwisho haui wala nini kubwa la majambazi linakuja kuokolewa.

THE TIME IS NOW, AND ONLY NOW. Ama sivo itamfaaa nini akifa na huo ubuyu wake?
 
@Timato Tomato mkuu kwa niaba yao nawaombea msamaha wa dhati kabisa, tupe ukweli tunakuamini, maneno yako hayana hata chembe ya utani, naendelea kula popcorn hapa
 
Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya hapa Dar vita itaendelea kuongozwa na 'jemedari' Paul Makonda, wazungu wa unga lazima wakae!
Atakaa yeye na vita yake feki na nyinyi mashabiki wake mtamkimbia mchana kweupe ...

Kwa strategies gani ya vita ya ngada aliyo nayo zaidi kupiga kelele tu

Ile listi aliyo itaja zaidi ya BMW, LEXUS na FORD RENGER alivyojipatia kwa yale majina matatu ya mwisho kabisa ... ni nini kingine kilichotokea

Na kwa taarifa yako sio hao tu ... Kina Hussein Pambakali na kundi lake woote walichanga mzigo ukapelekwa ... na hakuna jipya upo hapo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom