Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,ulichoandika b4 kuhusu kufungwa USO na kitamba ndicho alichoenda kusemakabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?
na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.
mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
[emoji1] [emoji1] nigawie bisi mkuuUwiiiiii
Mb ziko za kutosha
Na cm ni full charged
Nina bisi pembeni
Khaa! Si kwa biti hili...Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?
Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?
Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?
Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Tomato kumbe ulikuwepo na wewe?Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?
Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?
Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?
Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Kuhusu kuhamishwa hakusema mbona ila hata Mie nawaombea msamaa wale waliokuzingua haya tiririka mkuukabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?
na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.
mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Sema yote msema kweli ni mpenzi wa Mungu nakuaminiakabla sijaweka hadharani kila kitu hapa na nakumbuka niliahidi kuwa nitasema kesho ila sasa nitasema leo na muda si mrefu naomba kwanza wale members wote ambao hata kwa ushahidi tu wa post zao kwangu walikuwa wakipingana na maelezo yangu waniombe radhi kisha nataka wanijibu je nilichokiandika katika uzi wangu kimazingira kinatofautiana na maelezo ya awali ya mkatoliki wenu?
na nitaelezea pia ni kwanini waziri wenu mwakyembe alikuwa hapo katika press conference wakati mwenye huo mkutano alikuwa ni mkatoliki mwenyewe na sitoishia tu hapo nitaenda mbele hadi kueleza ni kwanini yule dada alikuwa akiharibu sana yale mazungumzo.
mlionikashifu huu ni wakati wenu kuniomba radhi ili sasa niwawekee wazi kila kitu watanzania na nitawaombeni mlio karibu na mkatoliki mwambieni asikae mbali na huu uzi kwani naenda kuweka kile ambacho ameogopa kukisema. kusanyikeni wote tafadhali mje mpate habari kamili muda si mrefu.
Anasubiri aombwe msamaha na washakunaku walioona anuza Chai.Tomato paste yakheee Mb za kujichanga bandugu
Anasubiri aombwe msamaha na washakunaku walioona anuza Chai.
Tehe tehe tehe njoo nikugawie kidogo[emoji1] [emoji1] nigawie bisi mkuu
ngoja nichomeke kasimu chaji nisubiri final episode ya huu mtanange
Atakaa yeye na vita yake feki na nyinyi mashabiki wake mtamkimbia mchana kweupe ...Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya hapa Dar vita itaendelea kuongozwa na 'jemedari' Paul Makonda, wazungu wa unga lazima wakae!
Tehe tehe tehe