Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Tomato please samehe Saba marà sabini.
Nyunyiza ubuyu.
 
Kabisa,ulichoandika b4 kuhusu kufungwa USO na kitamba ndicho alichoenda kusema

I CNT wait
Twakusubiri

Na team bashite tunaomba mtulie kama mnanyolewa vile

Naomba uarakishe wasije vamia mitambo ya jf
 
Tomito Tomato shusha press yako, Roma kaogopa kama vile hajui binadamu anakufa mara moja tu na si zaidi ya hapo
 
Khaa! Si kwa biti hili...
 
Tomato kumbe ulikuwepo na wewe?
 
Kuhusu kuhamishwa hakusema mbona ila hata Mie nawaombea msamaa wale waliokuzingua haya tiririka mkuu
 
Sema yote msema kweli ni mpenzi wa Mungu nakuaminia
 
Tomato paste yakheee Mb za kujichanga bandugu!

Nchi ishauzwa hii yakhe utasikia ofisi na saver za Jf zimetunguliwa na ndege za kivita za seria na Alshabab, bomb raider OG. Never under estimate Bashite. Usirembe tupe ubuyu fastaaa hata ndege za bomb raider zikija DEAL DONE. Ukiremba ndo itakuwa baaaaaassss tena
 
Mkuu Tomito Tomato wote waliokukashifu na kutoa lugha za dharau ni team bashite wasiojielewa, wasamehe kwani hawajui watendalo.
Mwagika mkuu, hatumwi mtu dukani...
 
Anasubiri aombwe msamaha na washakunaku walioona anuza Chai.

Hao anaowangoja hawamwombi wala nini wana buy time bomb raider zije. Watu wa kolomije wale ubuyu usipomwagika the better. Kama muvi ya kihindi sterling anaenda kumua mtu, anaimba kwanza songi 2 za malavida ndo aue , mwisho haui wala nini kubwa la majambazi linakuja kuokolewa.

THE TIME IS NOW, AND ONLY NOW. Ama sivo itamfaaa nini akifa na huo ubuyu wake?
 
@Timato Tomato mkuu kwa niaba yao nawaombea msamaha wa dhati kabisa, tupe ukweli tunakuamini, maneno yako hayana hata chembe ya utani, naendelea kula popcorn hapa
 
@Timato Tomato mkuu kwa niaba yao nawaombea msamaha wa dhati kabisa, tupe ukweli tunakuamini, maneno yako hayana hata chembe ya utani, naendelea kula popcorn hapa
 
Mapambano dhidi ya madawa ya kulevya hapa Dar vita itaendelea kuongozwa na 'jemedari' Paul Makonda, wazungu wa unga lazima wakae!
Atakaa yeye na vita yake feki na nyinyi mashabiki wake mtamkimbia mchana kweupe ...

Kwa strategies gani ya vita ya ngada aliyo nayo zaidi kupiga kelele tu

Ile listi aliyo itaja zaidi ya BMW, LEXUS na FORD RENGER alivyojipatia kwa yale majina matatu ya mwisho kabisa ... ni nini kingine kilichotokea

Na kwa taarifa yako sio hao tu ... Kina Hussein Pambakali na kundi lake woote walichanga mzigo ukapelekwa ... na hakuna jipya upo hapo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…