Una maana hatutapata tena muendelezo wa hii picha!!??Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.
Sasa kama ni uongo ya nini apotezewe wadhifa kwa kitu cha uongo? Mnafichaga wapi uwezo wenu wa kufikiri?Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.
WaitingSema yote msema kweli ni mpenzi wa Mungu nakuaminia
Tehehehe nakugawa bure kwa Bashite.Hao anaowangoja hawamwombi wala nini wana buy time bomb raider zije. Watu wa kolomije wale ubuyu usipomwagika the better. Kama muvi ya kihindi sterling anaenda kumua mtu, anaimba kwanza songi 2 za malavida ndo aue , mwisho haui wala nini kubwa la majambazi linakuja kuokolewa.
THE TIME IS NOW, AND ONLY NOW. Ama sivo itamfaaa nini akifa na huo ubuyu wake?
Tomato muongoooooooooooooooooo tu picha ishafungwaUna maana hatutapata tena muendelezo wa hii picha!!??
Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.
Ngoja ajitekenye wakati na yeye hapo alipo anaingoja story yenyewe ili apate pa kusimulia.Una maana hatutapata tena muendelezo wa hii picha!!??