Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Nina uhakika kabisa huu mjadala hata Bashite na Ngosha wanaufuatilia hapa JF sasa hivi kimya kimya huku kijasho chembamba kikiwatoka....
Maana Kuna mtu ameamua kumwaga Mboga na Ugali hapo hapo....

Usishangae ile Saver ya JF ikivamiwa ghafla muda sio mrefu
 
Some few minutes to come JF (NOC) itavamiwa sasa hivi na watachukua server zote ...

Tomito funguka fasta tufanye buck up mapema ...
 
Kila asemaye ukweli ni yule atandaye yaliyo haki mbele za Mungu.
 
Siti ya mbele kabisaa macho kodoo sim 98% charged nasubiri ukweli tomito weka nondo haraka haraka sevar watakuja na mitutuu apo mzeyaaaaa
 
Mkuu tomato it's now or never, shusha Nondo mkuu. Anything can happen tukaukosa ukweli! Do it now hii nchi saiv hata haitabiliki kabsaa[emoji848][emoji848]
 
Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.
Una maana hatutapata tena muendelezo wa hii picha!!??
 
Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.
Sasa kama ni uongo ya nini apotezewe wadhifa kwa kitu cha uongo? Mnafichaga wapi uwezo wenu wa kufikiri?
 
Hao anaowangoja hawamwombi wala nini wana buy time bomb raider zije. Watu wa kolomije wale ubuyu usipomwagika the better. Kama muvi ya kihindi sterling anaenda kumua mtu, anaimba kwanza songi 2 za malavida ndo aue , mwisho haui wala nini kubwa la majambazi linakuja kuokolewa.

THE TIME IS NOW, AND ONLY NOW. Ama sivo itamfaaa nini akifa na huo ubuyu wake?
Tehehehe nakugawa bure kwa Bashite.
 
Tomito Tomato wewe ni mwongo tu. Nani asiyejua kuwa rafiki yako Nehemia Wilson ndio anayekupenyezea hizi taarifa za uongo. Sasa wewe endelea kuwadanganya ila rafiki yako ameshadakwa na kwa taarifa zaidi atapoteza wadhifa wake na kama unabisha mpigie kama utampata hewani.

Heheeeee mmeshaanza kuvuana nguo na kulana nyama???

Popcorn na Pepsi please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom