Mkuu tunashukuru maana umeongea mambo yenye uhalisia ila kuna mijitu ipo humu imetumwa na watekaji ndio hiyo inapinga ukwelikweli mkuu unajua mimi humu jf ni mgeni sana na huwa sipo mara kwa mara hivyo kuna baadhi ya members wengine bado sijawaelewa tabia zao hata hivyo nashukuru kwa kunitahadharisha juu yao hivyo sasa nitawazoea na kuwavumilia pia.
Bila shaka mwenye uzi alikua anatoa clue kwa roma ajue cha kuongea.Muanzisha uzi kashiriki from A to Z,japo hakupenda ila alikuwa akitii amri..
Jitahidini mfunge CCTV jamani la sivyo tutawalokotela mto Ruvu mkiwa ndani ya sandarusi
Kabisakweli mkuu unajua mimi humu jf ni mgeni sana na huwa sipo mara kwa mara hivyo kuna baadhi ya members wengine bado sijawaelewa tabia zao hata hivyo nashukuru kwa kunitahadharisha juu yao hivyo sasa nitawazoea na kuwavumilia pia.
KabisaTomito ahsante Kwa sababu kila mtz alitamani kuijua habari hii ni Nini hasa kilitokea huko mafichoni, lakini nakushangaa sana kuwa unamlaumu Roma kwa kutokusema kweli wakt hata wewe mwenyewe kuna mambo inaonesha unaogopa kabisa kusema, nyumba hizo zilizohusika, watekaji , jina la kiongozi nk kumbuka hapo ulipo hujazabwa hata kibao cha uso tu, Kwa hayo mateso uliyoyayaainisha hapo juu Roma lazima aogope sana tu.
Duniani malipo ni hapa hapa tu aisee mfano mwisho wa Gaddafi jinsi alivoweza kuumia mamia ya wapinzani wake.Inasikitisha sana Mkuu.. Kama ulivyosema hiyo laana ikawarudie 7 * 70..!!!
Siku hizi amebaki kujitekenya na kujichekesha mwenyewe, wenye ufahamu tunampita na kumruka kama mtaro.Utakuwa mgeni kwa huyu mama
Asikuchoshe
Si mzima hata kidogo
Tehe tehe tehe yani sijui yukojeSiku hizi amebaki kujitekenya na kujichekesha mwenyewe, wenye ufahamu tunampita na kumruka kama mtaro.
Ndio maana nikasema Mungu mkubwa coz target ilikuwa Roma lakini wakabeba kundi lote la watu wanne ambapo ni ngumu sana Ku control watu wanne wote watunze siri wakati wana wazazi,wana wapenzi ni rahisi sana kuvujaUnachosema kinaweza kuwa kweli, unajua hakuna siri ya watu wengi, so kati yao lazima kuna mmoja au wawili wataongea tu, nanhili kuwadhibiti ndio hilo la slow poison laweza kuwa kweli, ngoja tuone hii move, nchi inatisha sana hii
Kila nafsi itaonja mauti mi ningesema tu ili wanimalizie vzuriWatakuwa wamepuliziwa sumu na kuambiwa waseme hivi ili wapewe dawa ya kuwaponya laa sivo watakufa tu
Kinachofurahisha na kutia Moyo bado unaendelea kusoma kila post atumayo.Tomato muongoooooooooooooooooo tu picha ishafungwa
Jamaa anasema alipata taarifa za wasanii wengi sana wakipaza sauti zao kwa umma kuhusu kutekwa kwao. Je alisoma kwenye mitandao au nani alimwambia hayo?Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?
Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?
Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?
Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Nina Imani kubwa kuwa mwisho wao umekaribia,ndio maana kila plan yao inabumaMungu mkubwa sana yani wanazidi kuumbuka. Dua langu ni kuwa wote wapatwe na ugonhwa waanze kupayuko kuwa Mimi ndio nilimteka Roma,nilitumwa na wakina Daud