Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Tomito ahsante Kwa sababu kila mtz alitamani kuijua habari hii ni Nini hasa kilitokea huko mafichoni, lakini nakushangaa sana kuwa unamlaumu Roma kwa kutokusema kweli wakt hata wewe mwenyewe kuna mambo inaonesha unaogopa kabisa kusema, nyumba hizo zilizohusika, watekaji , jina la kiongozi nk kumbuka hapo ulipo hujazabwa hata kibao cha uso tu, Kwa hayo mateso uliyoyayaainisha hapo juu Roma lazima aogope sana tu.
 
kweli mkuu unajua mimi humu jf ni mgeni sana na huwa sipo mara kwa mara hivyo kuna baadhi ya members wengine bado sijawaelewa tabia zao hata hivyo nashukuru kwa kunitahadharisha juu yao hivyo sasa nitawazoea na kuwavumilia pia.
Mkuu tunashukuru maana umeongea mambo yenye uhalisia ila kuna mijitu ipo humu imetumwa na watekaji ndio hiyo inapinga ukweli
 
Muanzisha uzi kashiriki from A to Z,japo hakupenda ila alikuwa akitii amri..

Jitahidini mfunge CCTV jamani la sivyo tutawalokotela mto Ruvu mkiwa ndani ya sandarusi
Bila shaka mwenye uzi alikua anatoa clue kwa roma ajue cha kuongea.
 
kweli mkuu unajua mimi humu jf ni mgeni sana na huwa sipo mara kwa mara hivyo kuna baadhi ya members wengine bado sijawaelewa tabia zao hata hivyo nashukuru kwa kunitahadharisha juu yao hivyo sasa nitawazoea na kuwavumilia pia.
Kabisa
Yani upeo wake ni Wa hali ya chini kuliko Mtoto Wa primary
We angalia hata hoja zake
Ni ngumu hata kujua anataka kusema nini haswa
 
Tomito ahsante Kwa sababu kila mtz alitamani kuijua habari hii ni Nini hasa kilitokea huko mafichoni, lakini nakushangaa sana kuwa unamlaumu Roma kwa kutokusema kweli wakt hata wewe mwenyewe kuna mambo inaonesha unaogopa kabisa kusema, nyumba hizo zilizohusika, watekaji , jina la kiongozi nk kumbuka hapo ulipo hujazabwa hata kibao cha uso tu, Kwa hayo mateso uliyoyayaainisha hapo juu Roma lazima aogope sana tu.
Kabisa
Hata Mimi nahisi tomato sauce hajasema kila kitu na yeye,ila angalau kasaidia kwa kiasi fulani

Yani Roma hata usoni anaonekana kuwa na hofu kubwa sana,ndio maana walikuwa wanasema kajiteka mwenyewe wananishangàza
 
Watakuwa wamepuliziwa sumu na kuambiwa waseme hivi ili wapewe dawa ya kuwaponya laa sivo watakufa tu
 
Unachosema kinaweza kuwa kweli, unajua hakuna siri ya watu wengi, so kati yao lazima kuna mmoja au wawili wataongea tu, nanhili kuwadhibiti ndio hilo la slow poison laweza kuwa kweli, ngoja tuone hii move, nchi inatisha sana hii
Ndio maana nikasema Mungu mkubwa coz target ilikuwa Roma lakini wakabeba kundi lote la watu wanne ambapo ni ngumu sana Ku control watu wanne wote watunze siri wakati wana wazazi,wana wapenzi ni rahisi sana kuvuja
 
598fe27551bd8927a7a41705177138d8.jpg
Sux,ni sumu inayokumaliza polepole bila ya kuacha ushaidi wowote.
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile Noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza Mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea...?

Ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote?

Yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani?

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo Oysterbay na kupelekwa Polisi?

Ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Jamaa anasema alipata taarifa za wasanii wengi sana wakipaza sauti zao kwa umma kuhusu kutekwa kwao. Je alisoma kwenye mitandao au nani alimwambia hayo?

Je simu zao zilikuwa wapi wakati wote wakiwa mateka? Roma anasema hajui walikotupwa lkn baadae akijifungua then akawafungua wenzake wakaanza kutembea hadi kuona kibao ndo wakajua wapo maeneo ya ununio. Je ilikuwa saa ngapi?
 
Mungu mkubwa sana yani wanazidi kuumbuka. Dua langu ni kuwa wote wapatwe na ugonhwa waanze kupayuko kuwa Mimi ndio nilimteka Roma,nilitumwa na wakina Daud
Nina Imani kubwa kuwa mwisho wao umekaribia,ndio maana kila plan yao inabuma

Mungu huwa adhihakiwi, wanajifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom