Tomito ahsante Kwa sababu kila mtz alitamani kuijua habari hii ni Nini hasa kilitokea huko mafichoni, lakini nakushangaa sana kuwa unamlaumu Roma kwa kutokusema kweli wakt hata wewe mwenyewe kuna mambo inaonesha unaogopa kabisa kusema, nyumba hizo zilizohusika, watekaji , jina la kiongozi nk kumbuka hapo ulipo hujazabwa hata kibao cha uso tu, Kwa hayo mateso uliyoyayaainisha hapo juu Roma lazima aogope sana tu.