Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Hupewi tena buku saba?
 
Tutanyooka kwa lipi hasa?

Hamna mwanzo lisilo na mwisho,na mwisho wenu ndio huu umefika
 
Ajitokeze ili nae mumteke
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
We we hii ndio ID yako genuine. ....

For sure unamaslahi na utekaji huu unaondelea
 
Safi sana mkuu kwa kutaka kuwa whistle blower lakn na wewe ikifika jumanne kama hautajitokeza humu na kuusema ukweli halisi au Roma katudanganya tutakuja hapa na evidence of who you are ili iwe fundisho na kwa wengine wanaokuja kila siku na kutudanganya. Kama hautaleta ukweli utafanya juhudi za Maxence Melo za kutetea haki ya kufumua uozo lkn baadhi ya watu hawaitumii vizuri. Mkuu cha kwanza ni kuwa haupo Hargeisa bali umetokea njia panda ya kwenda ulaya ya mkoa flani, pia kabila lako ni la watu ambao wapo siriaz kwenye kutetea maslahi ya wananchi na pia ni kweli ni kama jambazi kaamua kuwa mlinzi ila wa wapi hlo tutalisema baada ya wewe kuzingua
 
Mkuu unataarifa za hatari sana, tumalizie tu tujue hapahapa.Usiwagombanishe watu na serikali yao kama umeamua kutufurahisha, maana uzi huo ni soo
 
Jamani tufuate rules zilizowekwa na JF kabisa, kitu kinachopostiwa humu kiwe na mashiko maana uzi huo sio mchezo.
 

umeshamaliza kuwapa maendeleo familia yako ili hata ikitokea umepotea kwa muda tu au kimoja huku nyuma wasiwe na shida ya kimaisha?
 
Kweli kbsa. Afanye kuweka wazi au ajitokeze kwa wakuu wa JF asije mletea Maxene shida bure ya kuhojiwa tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…