ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Tena umenikumbusha maan tutalala hapa hapa D😀😀😀:Beba mkeka, shuka na mto, haondoki mtu hadi J4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena umenikumbusha maan tutalala hapa hapa D😀😀😀:Beba mkeka, shuka na mto, haondoki mtu hadi J4
UwiiiiiiDuh kuna mtu kaliwa utumbo mpana? Chinekeeeee
Huu mwaka utaenda haja kubwa umesimama.... Jiwe jingine linakuja
Atakuwa MTU Wa karibu sana na watekwaji, hata uandishi wake ni Wa machungu sanamtoa uzi ni mmoja wa watekaji
kamanda sirooooooooo huyu jamaa atakusaidia A to z
Hupewi tena buku saba?Nimeimiss chadema ya dr slaa,yaani walikuwa hawachezi na fursa hizi kabisaaa,
hapa tayari wangeshapata mawasiliano,tayari watu wangewekwa mtaa anaokoo Roma ili kufuatilia ile gari inayopita na hao magaidi kumtishatisha,
hiyo gari ingekuwa tracked na mhisika angeanikwa wazi ,yote hayo yangefanyika kwa gharama kidogo tu ambayo hawa viongozi wao wa sasa wanaona ugumu kutoa fund kwa kazi kama hizo,
ha ha ha japo nilikua buku saba kipindi hicho moyoni nilikuwa nakiri vijana walikuwa wanatukimbiza balaaa
Tutanyooka kwa lipi hasa?Hakuna baya lolote hapa nchini. Ninjtie wachacge manata wati wawafate ili kuweze kufikia malengo yenu. Unayoyaongea hayana tofauti na yule aliyeongea na wa kwao jana.
Mnaraka kuweka watu kwenye wasiwasi wa kutekwa huku mnayapanga ninyi.
Majambazi mbona hamuwaongelei na wanatenda mengi kila siku nchini kilakona!?
Mtanyooka tu
Ajitokeze ili nae mumtekeAcha blah blah zako, ungekuwa na ukweli halisi ungemwaga na sio kusubiri Jumanne.
Unamtishia wewe kama nani? Acha kuleta udaku wako huku, kaa huko muisome namba.
Mnapenda sana kutunga uongo shaaaaaaa
Ona upupwu uliouandika kumblackmail, kama una ubavu jitokeze kwa mapaparazi uonekane uyaongea uliyoyaandika. Au weka jina lako kamili na mengine ujulikane.
Kuja na ID feki umegusa mwamba, shame on you.
Mtanyooka tu, fanyeni kazi wavivu wakubwa hakuna vya shoti kati tena.
Kumbe bado upo think tank wa maccm. ...tena inaonekana umekuwa genius kabisa. ...Roma amejiteka kutafuta umaarufu
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
We we hii ndio ID yako genuine. ....Acha blah blah zako, ungekuwa na ukweli halisi ungemwaga na sio kusubiri Jumanne.
Unamtishia wewe kama nani? Acha kuleta udaku wako huku, kaa huko muisome namba.
Mnapenda sana kutunga uongo shaaaaaaa
Ona upupwu uliouandika kumblackmail, kama una ubavu jitokeze kwa mapaparazi uonekane uyaongea uliyoyaandika. Au weka jina lako kamili na mengine ujulikane.
Kuja na ID feki umegusa mwamba, shame on you.
Mtanyooka tu, fanyeni kazi wavivu wakubwa hakuna vya shoti kati tena.
Shame on you Bashite mkubwaRoma amejiteka kutafuta umaarufu
Safi sana mkuu kwa kutaka kuwa whistle blower lakn na wewe ikifika jumanne kama hautajitokeza humu na kuusema ukweli halisi au Roma katudanganya tutakuja hapa na evidence of who you are ili iwe fundisho na kwa wengine wanaokuja kila siku na kutudanganya. Kama hautaleta ukweli utafanya juhudi za Maxence Melo za kutetea haki ya kufumua uozo lkn baadhi ya watu hawaitumii vizuri. Mkuu cha kwanza ni kuwa haupo Hargeisa bali umetokea njia panda ya kwenda ulaya ya mkoa flani, pia kabila lako ni la watu ambao wapo siriaz kwenye kutetea maslahi ya wananchi na pia ni kweli ni kama jambazi kaamua kuwa mlinzi ila wa wapi hlo tutalisema baada ya wewe kuzinguatena siyo kidogo na alikanyagwa mno mbavuni na kichwani na juzi ilibidi akandwe sana ili kuondoa uvumbe uliokuwa umemjaa usoni mwake. mkuu hayo niliyokuwekea hapo na madogo mno hao vijana wamefanyiwa mambo makubwa na hadi ya kudhalilishwa na nasita kuyaweka hapa kwa maslahi tu ya familia zao na dini zao. inauma na inasikitisha sana watu wawili wanaandaa mateso kwa watanzania kwa maslahi yao na kuwanyamazisha watu.
Mkuu unataarifa za hatari sana, tumalizie tu tujue hapahapa.Usiwagombanishe watu na serikali yao kama umeamua kutufurahisha, maana uzi huo ni sooKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Jamani tufuate rules zilizowekwa na JF kabisa, kitu kinachopostiwa humu kiwe na mashiko maana uzi huo sio mchezo.Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Safi sana mkuu kwa kutaka kuwa whistle blower lakn na wewe ikifika jumanne kama hautajitokeza humu na kuusema ukweli halisi au Roma katudanganya tutakuja hapa na evidence of who you are ili iwe fundisho na kwa wengine wanaokuja kila siku na kutudanganya. Kama hautaleta ukweli utafanya juhudi za Maxence Melo za kutetea haki ya kufumua uozo lkn baadhi ya watu hawaitumii vizuri. Mkuu cha kwanza ni kuwa haupo Hargeisa bali umetokea njia panda ya kwenda ulaya ya mkoa flani, pia kabila lako ni la watu ambao wapo siriaz kwenye kutetea maslahi ya wananchi na pia ni kweli ni kama jambazi kaamua kuwa mlinzi ila wa wapi hlo tutalisema baada ya wewe kuzingua