laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,755
muda wote unawaza matusi tu huna akiliDuh kuna mtu kaliwa utumbo mpana? Chinekeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muda wote unawaza matusi tu huna akiliDuh kuna mtu kaliwa utumbo mpana? Chinekeeeee
Pamoja mkuu, huh Uzi si wa kuupotezeaHapafai kuondoka hapa ngoj nichukue kiti kabisa
/Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Mbombo ngafuu..mweeehKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Sawa dadamuda wote unawaza matusi tu huna akili
Bashite Umepanic, anyway mwaka wako huu, panic at your own riskWewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Alishajitapa leta deffender leta wajeda sasa kesho atulishe matango pori kweli mje hapa kueleza ukweliKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Alishajitapa leta deffender leta wajeda sasa kesho atulishe matango pori kweli mje hapa kueleza ukweliKesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..
Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..
Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?
ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Wat if huyo mkuu ndo anamtuma huyo mtu mmoja?Walahi kuna vugu vugu baya inchini likisababishwa na mtu mmoja tu huku mkuu kabisa akiona sawa. So sad. Sidhani ndicho walicho tegemea wapiga kura wake.
Ajitokeze ili nae mumteke
Unampa hadhi sana, michepuko ndio huwa na viherehere vya dizaini hiiBasi mama Daudi tumekusikia.
mimi ni dada yako hebu acha ujingaSawa dada
Nimekuelewa dadamimi ni dada yako hebu acha ujinga
hata huku kuzipata tu hizi taarifa nadhani ulipashwa kwanza unipongeze kwani yawezekana wewe upo huko tanzania kwa sasa ulikuwa huna ila mimi ambaye nipo zangu huku mkoani kwetu hergeisa nchini somalia nimeweza kufanya jitihada zangu za kulijua hili jambo na hatimaye hata wewe kuweza kujua sasa. nadhani muhimu ni kujua kiini cha tatizo na siyo kwanini tokea lini sikujitokeza kusema ukweli. tujifunze kushukuru na kuheshimu juhudi za mtu aliyeamua kujitoa mhanga kusema ukweli.