Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
/
Mkuu Gentamycine wewe ni mwana Eaglewing lakini kila siku unakataa. Endelea kucheza na akili zetu.

https://www.jamiiforums.com/threads...to-vituko-na-uchangamfu-sana-humu-jf.1214199/
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Mbombo ngafuu..mweeeh
 
Wewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Bashite Umepanic, anyway mwaka wako huu, panic at your own risk
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Alishajitapa leta deffender leta wajeda sasa kesho atulishe matango pori kweli mje hapa kueleza ukweli
 
Ajitokeze ili nae mumteke

Wala hujui huyu nani.

Drama zenu za kujitengenezea zinajulikana pita hukoooo muendeleee kupanga mipango ambayo haijaenda shule inabuma ndani ya sekunde baada ya kutolewa. Usisahau kuwapikia chakula wenzako
 
Fundu linaanza pale umetengeneza ma-Tshirt yako 1000 ya [HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG] halafu karudi
 
hata huku kuzipata tu hizi taarifa nadhani ulipashwa kwanza unipongeze kwani yawezekana wewe upo huko tanzania kwa sasa ulikuwa huna ila mimi ambaye nipo zangu huku mkoani kwetu hergeisa nchini somalia nimeweza kufanya jitihada zangu za kulijua hili jambo na hatimaye hata wewe kuweza kujua sasa. nadhani muhimu ni kujua kiini cha tatizo na siyo kwanini tokea lini sikujitokeza kusema ukweli. tujifunze kushukuru na kuheshimu juhudi za mtu aliyeamua kujitoa mhanga kusema ukweli.

Cha msingi jilinde wenye Nchi yao wasije kujitoa uhai Watanzania wanyonge tunamuhitaji.

Sidhani kama atasema naona badala ya Jumanne asiposema asubuhi hiyo kesho jioni tuwekee ukweli tunaopaswa kujua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom