Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Huu uzi bana c wa kumic j4 coz najua Roma atabwabwaja maneno tu kesho mbavu bado zitakuwa zinauma... Wacha nitege antena hadi j4 tupate ubuyu..
 
Naamini Roma atatumia slogan ya Chama, kwamba ukweli daima uongo mwiko..

Ila nadhani hapa ili kujilinda zaidi ni kuchapa risasi kama pistoria tu babakee ukisikia hata panga kadondosha kijiko hakikisha usije ukajikuta umetekwa.
 
Awaambie ukweli nyie kama nani bwana.. Hii ishu tumuachie mwenye inahusu usalama wa maisha yake mwenyewe.
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Kwani bashite ni mkatoliki ?
 
Walahi kuna vugu vugu baya inchini likisababishwa na mtu mmoja tu huku mkuu kabisa akiona sawa. So sad. Sidhani ndicho walicho tegemea wapiga kura wake.
BTW Tanzania ipo katika hatua nzuri ya kumpata kiongozi mwenye sifa zote za Kagame.
 
Kesho nitakuwepo kwenye mkutano,japokuwa sio muandishi wa habari,sio kwa udaku huu wa Tanzania inavyoenda now.
 
Tutaanza na wewe inselekea unajua mengi
 
ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu...

uwongo utajitenga kwenye ukweli.

Ewe M.Mungu mjalie afya njema Rais JPM na serikali yake.
 
Issue ya vyeti imezikwa hivyo.....
 
Kama Roma asingechechemea mguu wake baada ta utekaji, hata mimi kweli nisingemuamini mleta uzi. Lakini there is a possibility kwamba anayoyasema yana ukweli.

kumbe na wewe ulitaka kuungana na wale waliokuwa wanadhani natania mkuu? mtafuteni moni na bin laden waulizeni kwanini walitenganishwa vyumba na wote wakawa wanateswa tofauti tofauti? si wapo nje tayari sasa kwanini mliopo nao msiwaulize tu ili mjiridhishe? au na nyie mnaogopa kutekwa kama wao?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom