Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
Kusoma hujui na hata Picha huoni jamani duuu
 
Wewe ndio utuambie ukweli umejuaje alipigwa virungu? ulikuwepo
Sasa umejuaje hatosema ukweli wakati yeye ndio anajua ukweli? Tatizo lenu tayari mna majibu yenu mfukoni sasa mnalazimisha Roma aseme hayo.
Ukweli ni ukweli tuu hata kama hauto wafurahisha kwa hiyo mtulie msilazimishe aseme myatakayo
We tetea tu,si hayajajufika. Kwa style ya utawala huu nobody is safe.
 
d3c83b16053e5cacae5f7162f5b440f5.jpg

Salam zako toka kwa Trump. Anawapenda sana nyie msio jitambua na kujikomba kwa watawala dhalimu.

Ha ha ha haaaaaaaaaaa

Unajisikiaje linapokuingia hilo?

Mtanyooka tu

Na bado

Naona mleta mada nae kalike eeeeh, anachumia maumivu juzi anafanya kazi mshama wa JF jana anakuja na uzi huu. Ujanja mwambie awafanyie nyie, hamtumii akili hata kujipanga kutaka kupotosha ukweli wa nyie akina nani. Maslahi yakiguswa inahuhuuuuuu
 
Oooh poor me[emoji32][emoji32]

Wakt kuna watu wanaumizwa na hali inayoendlea , watu wanapondeka miyoyo. Kuna mtu bado machoni pake anaona hali iko sawa kabsaa na ni raha kwake!
Kweli bnadamu tumeumbwa tfaut ila chungza wayalalamikayo nduguzo na ujiulize n kwann.
Hakuna asyepends mema yamjie sasa kwann hali unayoiona ww kua njema machoni pako ndg yko inamuumiza!

WAZA KISHA UWAZUE
WAZA NA KUWAZUA[emoji32]

Ni wazue unanilisha!?

Kama wewe unaamini hizi drama wanazojisetia watu kwa maslahi binafsi endelea kuamini.

Mimi niache na yangu navyoamini mimi

Kunyooka mtanyooka tu, na nyie wafata mikumbo bila kupiga breki kufikiria
 
Mkuu watu kama nyinyi ndio mnasababisha kina MaxMello kulazwa selo. Tuiheshimu JF, tuithamini, tusiibadili kuwa kijiwe cha kusakata porojo na udaku. We cannot afford losing this precious platform kwa upuuzi wa watu wachache.

Ndio hatumpendi/hatumtaki Baxhite, lkn this is too much.
Povu la nini sasa?
 
Kabisa

Naona wanatumana kutunga mambo ili kuchafua viongozi. Wana watu nyuma yao wanajribu kila njia na watakwama tu.

Jana tu yeye na sijui maneja wametoautiana waliyosema. Na bado watu watanyooka tu

Nchi ya Magufuli hii, hakuna blah blah blah
Hao viongozi wenyewe wameshachufuka.
 
Yaaaaap nmekupata mdau ila chamsing andaaaa data koz kw haraharka roma kawekewa bandej mdomon na najua katishiwa vikali ko mwshi WA movie naona kam atoongea chochote cha kiukwel kuhus diz ila atadai nipolisi kujidifend koz anafamilia so jiandae na tunaweight ukwl j4 kutoka kwko mzeeee
 
Acha blah blah zako, ungekuwa na ukweli halisi ungemwaga na sio kusubiri Jumanne.

Unamtishia wewe kama nani? Acha kuleta udaku wako huku, kaa huko muisome namba.

Mnapenda sana kutunga uongo shaaaaaaa

Ona upupwu uliouandika kumblackmail, kama una ubavu jitokeze kwa mapaparazi uonekane uyaongea uliyoyaandika. Au weka jina lako kamili na mengine ujulikane.

Kuja na ID feki umegusa mwamba, shame on you.

Mtanyooka tu, fanyeni kazi wavivu wakubwa hakuna vya shoti kati tena.
Kesho mazee asiposema ukweli j4 ukweli utaanikwa.

Sasa wewe jasho hadi kwenye ulimi inakuhusu?
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Duuuuu mkuuu shkamooo asiposema j4 mwaga kila kitu apaaa
 
Ni wazue unanilisha!?

Kama wewe unaamini hizi drama wanazojisetia watu kwa maslahi binafsi endelea kuamini.

Mimi niache na yangu navyoamini mimi

Kunyooka mtanyooka tu, na nyie wafata mikumbo bila kupiga breki kufikiria

Wewe hasa ni mtetezi wa nani? Wa Daudi au wa Paulo? Maana waweza kujikuta ume bugi step na kumfata ndiye ambaye siye!
Unatumia nguvu nyingi na akili kidogo (kama zipo) kutetea ukweli ulio wazi
 
Wewe hasa ni mtetezi wa nani? Wa Daudi au wa Paulo? Maana waweza kujikuta ume bugi step na kumfata ndiye ambaye siye!
Unatumia nguvu nyingi na akili kidogo (kama zipo) kutetea ukweli ulio wazi
na wewe ni mtetezi wa nani...mbowe au gwajima
 
Hapafai kuondoka hapa ngoj nichukue kiti kabisa
Hahhahahahaaaaa kiti cha mbele kabisa usisahau popcorn [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Ngoja NISABUSKRAIBU huu mzigo fasta ...
 
Dah! Najuta kuufungua uzi huu, tunako elekea si kuzuri
Namhurumia sana Roma, yupo kwenye wakati mgumu sana...
 
  • Thanks
Reactions: 999
Acha blah blah zako, ungekuwa na ukweli halisi ungemwaga na sio kusubiri Jumanne.

Unamtishia wewe kama nani? Acha kuleta udaku wako huku, kaa huko muisome namba.

Mnapenda sana kutunga uongo shaaaaaaa

Ona upupwu uliouandika kumblackmail, kama una ubavu jitokeze kwa mapaparazi uonekane uyaongea uliyoyaandika. Au weka jina lako kamili na mengine ujulikane.

Kuja na ID feki umegusa mwamba, shame on you.

Mtanyooka tu, fanyeni kazi wavivu wakubwa hakuna vya shoti kati tena.
Kwendraaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom