Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

Status
Not open for further replies.
Punguza ubashite na kiherehere mkuu, kwani jumanne imeshafika hadi uanze kutokwa povu, kasema anamsubiri Roma auseme ukweli asiposema yeye atasema. Kumbuka kwenye hili swala sio Roma peke yake anayeujua ukweli, kuna watu watano waliokuwa watekaji kwenye Noah na kuna watu wanne waliotekwa kwa hiyo kama ni Siri Basi ni ya watu zaidi ya Tisa na mtoa mada anaweza kuwa mmoja Kati ya hao tisa
Hapo hamna siri tena kila kitu tutakipata hapa.
Ila kwa sasa ktk haya masaa kadhaa kabla ya kuongea na waandishi maisha yake yako hatarini zaidi ya alivyotekwa.

Cha msingi aongee ukweli mapema kwa ndugu, jamaa, marafiki ili ukweli ujulikane mapema
 
Dah! Najuta kuufungua uzi huu, tunako elekea si kuzuri
Namhurumia sana Roma, yupo kwenye wakati mgumu sana...
Wanaweza wakamuua muda wowote ili asiongee au kama akiongea hataongea ukweli kitu ambacho bado kitamuweka pabaya zaidi.
Cha msingi aongee ukweli kila kitu ili hao waliomteka kama ni kumuua wamuue kweli vita vianze kwa mtu anayejulikana
 
Wanaweza wakamuua muda wowote ili asiongee au kama akiongea hataongea ukweli kitu ambacho bado kitamuweka pabaya zaidi.
Cha msingi aongee ukweli kila kitu ili hao waliomteka kama ni kumuua wamuue kweli vita vianze kwa mtu anayejulikana
Tuombe Mungu, aweke bayana yote yalowakuta.
 
Kesho tunataka kusikia yafuatayo..wale watu wawili waliokuja kukuhoji kwanini walikuwa hawakujui je walielekezwa na nani kwako?..mlipoingia ndani ya ile noah kwanini nyote mlifungwa vitambaa vichwani na mkaja kufunguliwa mlipoingizwa katika nyumba ya kwanza mikocheni na siku mbili baadae mkahamishiwa katika nyumba iliyopo Oysterbay..

Kwanini kati yenu wote ni wewe tu ndiyo uliyepigwa sana na virungu magotini huku ukikanyagwa kila mara mbavuni mwako na kuna wakati ukawekewa bastola kichwani ndipo ukaanza kunywea..ni kiongozi gani ambaye juzi usiku alikuja katika hiyo nyumba na kuzungumza nanyi kisha akawatishieni nyote..yule dada aliyekuwa akiongoza mateso yenu huku akiwa anawahoji na kuwarekodi anatoka katika taasisi gani..

Kiongozi gani aliomba kuongea na wewe jana asubuhi kabla hamjaondoshwa hapo oysterbay na kupelekwa polisi?

ole wako usiseme huu ukweli kesho.
Kama bandiko hili lina UKWELI basi baadae Leo Roma atasema UONGO.
 
Ni wazue unanilisha!?

Kama wewe unaamini hizi drama wanazojisetia watu kwa maslahi binafsi endelea kuamini.

Mimi niache na yangu navyoamini mimi


Kunyooka mtanyooka tu, na nyie wafata mikumbo bila kupiga breki kufikiria
Kumbe mapovu yote haya sababu ni kulishwa sio.
 
We ndo mhusika kwann hukusema akiwa bado mafichoni? Hahha mtajitaja mikocheni si home kwa mbowe kule
 
Kinachonishangaza ni uandishi wa uzi huu haufanani na nyuzi nyingine unazoandikaga,hata lugha tofauti achilia mbali hiyo bold.
 
Ha ha haaaaaaa

Wa madawa mnamtishia eeeeeh.

Mmeshaanza kutunga uongo, na bado mtanyooka tu.

Nchi hii viongozi hawatachafuliwa kwa sababu wtu wachache wana maslahi yao.

Mtanyooka tu.
Wewe Mrs Bashite unachekelea nini sasa??? Ngoja siku mmoja utekwe wewe ndo utajua haya mambo si ya kuchekelea
 
Hakuna baya lolote hapa nchini. Ninjtie wachacge manata wati wawafate ili kuweze kufikia malengo yenu. Unayoyaongea hayana tofauti na yule aliyeongea na wa kwao jana.

Mnaraka kuweka watu kwenye wasiwasi wa kutekwa huku mnayapanga ninyi.

Majambazi mbona hamuwaongelei na wanatenda mengi kila siku nchini kilakona!?

Mtanyooka tu
Mbona povu Mrs Bashite?? bwana wako huu mwaka hautaisha lazima ashughulikiwe.
 
Mleta mada amesema atasema jumanne kama leo Roma asiposema. Tusubiri muda utatujibu. Mapovu yanawatoka baadhi humu ndani nini tatizo???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom