Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea
==============================================
"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe.
Yaani wenyewe ndio wanauliza kuzijua siri za chama then hao hao wanalalamika kwanini anatoa siri za chama
MNATAKAJE?"