Roma Mkatoliki: Wanaosema Lissu anakosea kutoa siri za chama ndo hao hao wanamuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea

==============================================

"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe.

Yaani wenyewe ndio wanauliza kuzijua siri za chama then hao hao wanalalamika kwanini anatoa siri za chama

MNATAKAJE?"

roma.png
 
Huyu boga anajifanya mkimbizi ili ale hela za wamarekani
Marekani ya wapi hiyo wanaoto hela kwa watafuta hifadhi? Unajua Roma ana muda ganigani tangu ameenda na alienda kwa ajili ya nini na kwaninii?
 
Wakuu,

Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea

==============================================

"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe.

Yaani wenyewe ndio wanauliza kuzijua siri za chama then hao hao wanalalamika kwanini anatoa siri za chama

MNATAKAJE?"

huyo mroma ni mjumbe wa mkutano mkuu Taifa kutokea Kanda gani ya kiutawala chadema?🐒
 
Wakuu,

Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea

==============================================

"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe.

Yaani wenyewe ndio wanauliza kuzijua siri za chama then hao hao wanalalamika kwanini anatoa siri za chama

MNATAKAJE?"

kama sityo domo WAZI la Lisu, mwenye akili angesema kuwa haya ni ambo ya internal affairs , sitajibu hapa. Muulize kama mtu akmuulia hivi kweli risasi hazikugusa nerves za pumbu na za erection mechanism atajibu hadharani?
 
LISU MROPOKAJI, LISU WAS MY FAVORITE POLITICIAN, LAKINI KWA BEHAVIOR YA LIDOMO LAKE , SIMTAKI TENA! MPUUZI MKUBWA SANA
 
Attachments

  • SAMIA.mp4
    90.7 MB
kama sityo domo WAZI la Lisu, mwenye akili angesema kuwa haya ni ambo ya internal affairs , sitajibu hapa. Muulize kama mtu akmuulia hivi kweli risasi hazikugusa nerves za pumbu na za erection mechanism atajibu hadharani?
UWT mpo hoi kabisa, Lisu piga twende
 
Wakuu,

Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea

==============================================

"Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe.

Yaani wenyewe ndio wanauliza kuzijua siri za chama then hao hao wanalalamika kwanini anatoa siri za chama

MNATAKAJE?"

Siri za kukiua chama ni njama, hujuma nandhuluma dhidi ya chama chenyewe
 
Back
Top Bottom