mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
mwanaume unaanzaje kupenda maji kama bata
huku kwetu njombe mara 1 tu kwa wiki inatosha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume unaanzaje kupenda maji kama bata
huku kwetu njombe mara 1 tu kwa wiki inatosha sana
Huku kaskazini kuoga ni x2 tu kwa wiki ikienda sana tatu. Kumbe wako wanaume wanaooga x2 kwa siku, wakat sisi iyo moja tu yenyewe inatushinda, uoge kila siku na dada ako naye afanyeje?Kwa hiyo suppose umeoga asubuhi, mchana ukapata gemu ya kut**ba, ukaoga gest. Then ukaendelea na mishe mishe. Inamaana ucku wakati wa kulala nisioge!!?
Kwaio hiyo ndio itakua daily routine yako?Kwa hiyo suppose umeoga asubuhi, mchana ukapata gemu ya kut**ba, ukaoga gest. Then ukaendelea na mishe mishe. Inamaana ucku wakati wa kulala nisioge!!?
Watu wamekimbilia tu kucomment...Angalau?!...ndo at least? !ina maana gani
Washawishi wenzio muandamane,mdai haki zenuKwa nini uwazie wanaume wenzio kuoga? Hilo nalo lina ukakasi....
Povu jingi.Acha upoyoyo wewe!!! Sio kila mada JF unaichukulia serious!!!
Btw, hivi wewe ni Ke au Me?! I thought you're ME! Kama ME, how come unasema hujakutana na mwanaume anayeoga mara kwa mara?! Hujakutana nae wapi?!
Kama ni KE, then and good
Jibu swali we boyaa! We mwanaume au mwanamke?! Kama ni mwanaume; ni wapi huko unakotaka kukutana na wanaume wanaoogza zaidi?! Mburula ju'ha mkubwa wewe!!!Povu jingi.
Don't raise your voice improve your argument punk as.s
Wewe bado mvulana mdogo, Unashindwa kujiuliza Roma alietoa mada ameona wapi wanaume wanaoga zaidi ya Mara moja. Je yeye anahitaji kuulizwa jinsi yake Kama ni Ke ama Me?.
Kuna uhusiano gani wa kujadili swala hili na jinsi ya MTU, Akiwa Me ama ke? Manake unaropokwa na povu LA Omo.
Kuoga ni sehemu ya usafi wa mwili.
Unless Una tafsiri nyingine ya kuoga.
Kua na mke haiwezi kua sababu ya kuoga Mara kwa Mara. Ukikua utajua zaidi.
Save your energy
Na log off.
Wewe ni incapable. Hua sijibu maswali ya kipumbavu ya kitineja Kama hilo.Jibu swali we boyaa! We mwanaume au mwanamke?! Kama ni mwanaume; ni wapi huko unakotaka kukutana na wanaume wanaoogza zaidi?! Mburula ju'ha mkubwa wewe!!!
Mtoto kiume unaongea kama shoga; boya wewe!!!
Umenena vyema mkuu,eti hapa wanaangalia u gumu. ...wakati ni uchafu na ujingaAisee mimi siwezi kuvumilia jasho kwa kweli.
Huo ni ugumu wa kishamba .
Kuwa Me hakukupi tiketi ya kuwa mchafu mchafu.
Jitahidini aisee mjipende.
Dadangu mbona mapovu?! Mtoto wa kike kuwa na matusi sio poa bhana!!!!Wewe ni incapable. Hua sijibu maswali ya kipumbavu ya kitineja Kama hilo.
Ungekua smart ulipaswa ku-admit kua nimekuumbua. .ila bado Utoto unakuendesha Sana. Na unavyoropokwa ndivyo unavyonithibitishia kua wewe ni zwazwa kabisa. Hujui kujenga hoja na ukizidiwa unatukana. Asante kwa keyboard.
Nina uhakika numb nut kama wewe ungekua karibu yangu usingethubutu kutapikwa omo regardless of your corky stupid a.ss
Acha kufuatilia maisha ya watu wanavyoishi.
Pambana na hali yako kijana.
Loser[emoji107]
Dadangu mbona mapovu?! Mtoto wa kike kuwa na matusi sio poa bhana!!!!
Btw, wapi nimesema mimi smart! Au bado unaweweseka na nondo nilizokushushia kwenye uzi wa Kiba na Vevo kiasi cha kukuonesha ni namna gani ulivyo beauty with no brain!!!
Halafu, nijibu basi swali langu la msingi!!! Ni wapi huko ambako hujakutana na wanaume wanaooga zaidi ya mara mbili?! Relax baby, kisha nipo ujibu manake usipofanya hivyo utaendeleza tabia zako za matusi kitu ambacho sio poa kwa mtoto wa kike!!!
Eti umeniumbua?! Kivipi? Sio umejiumbua mwenyewe kwa kuweka wazi jinsia yako halisi?!
And, ni nani ameanza kutukana kama sio wewe dada Trace baada ya kuweka wazi your beauty with no brain kuhusu PhD?! Nimekuuliza maswali na yote umeshindwa kujibu na kuishia kutukana!