Roma: Mwanaume kuoga mwisho mara mbili

Roma: Mwanaume kuoga mwisho mara mbili

Na log off.[/QUOTE]
Blah blah blah blah

Wewe ni Mpumbavu.

Am out.
Dada Trace heat period yako inakujiaga vibaya sana! You been saying the same fuc'king thing kwamba you're out but come back again and again!!! No single horny baby can get outta heat period unless you get a cock in!! Chill out baby so you get one!!!
 

STAA namba moja katika Hip Hop kwa sasa nchini, anayetamba na kibao na video yake ya Zimbabwe, Ibrahimu Musa a.k.a Roma Mkatoliki, amesema licha ya usafi kuwa ni muhimu, lakini mtoto wa kiume anastahili kuoga angalau mara mbili tu kwa siku.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Roma alisema anapenda kuwaona vijana watanashati, lakini linapokuja suala la kuoga, kama ni lazima, basi angalau aoge mwisho mara mbili kwa siku, vinginevyo, inaleta ukakasi na kuondoa tabia za kiume.

“Kusema ukweli mwanaume kuoga angalau iwe mara mbili tu kwa siku, si vema mtoto wa kiume unaoga kutwa mara nne au tano, inaleta ukakasi na kwa upande wangu huwa namtazama mwanaume wa aina hiyo kwa jicho lenye maswali mengi ndani yake,” alisema.


Muungwana


Wabongo kwa ujinga....yaani huyu ni star naye? Jamaa hata kutema mistari hajuwi ila analazimisha tu na kuiga black Americans.....kwa nini asijiunge na Msondo ama Twanga wamfundishe muziki? Wabongo msipende kulalia kazi za wenzenu, mnawajuwa wanamuziki au mnawasikia tu? Mwacheni tu aendelee kunuka makwapa.
 
Back
Top Bottom