Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Umekalia nini Wakati unaandika huu upuuzi wako hapa??Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekalia nini Wakati unaandika huu upuuzi wako hapa??Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Wasiposema walikokuwa na aliyewateka kina roma ninakuwa na cha kusemaDuh, Kwahiyo Bashite ameshamuachia, Maana aliahidi atapatikana kabla ya kesho
Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
Aisee cyanide mbona huwezi kutamba gata saa mojaIkiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Basi inabidi watueleze wamempata wapi mwanzo walikana kuwashikilia
Akina Diamond na Babu Tale wamekula mpunga mrefu japo movie yenyewe wameikosea sana, Nchi hii kila kitu ni Dili, mkasa huu Wajanja wamepiga pesa, hata watekaji wamepiga pesa, inashangaza Daud Bashite kutumia pesa za Umma kutengeneza sinema feki.Nasubilia kwa hamu kuipata full story, maana mpaka Mond kafungukia hili swala, na pengine wamehofu kuwa ishu itakuwa kubwa sana wakimpoteza, ndio maana wamecheza bongo movie.
Kama cocochan... Maana amejifyatua jumlaIli kuiunga Mkono serikali hii ya Magufuli (siongelei Chama), inahitajika uwe na mojawapo kati ya haya mambo matatu au yote; mahaba-niue kwa Magufuli/Bashite yaani wewe huambiwi-husikii chochote negative kuhusu Magufuli/Bashite yaani umejifyatua akili AU una maslahi binafsi ya kiuchumi na utawala(sio uongozi) huu AU unaendekeza ukabila/ukanda
Bavicha bhana wamejazana kwenye huu uzi wakidhani ROMA alikuwa osterbay polisi. Roma kapatikana na kupelekwa kituo cha polisi Osterbay......
Roma hawezi akawa alitekwa na serikali maana hana cha kuitisha au kuzuia serikali....
Roma angekuwa yuko polisi wangelisema kama ilivyokuwa kwa Nay lakini kwakuwa mlishaaamua kumchukia mtu fulani basi mna msingizia kila jambo.