uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,084
Tukana lakini weka ushahidi. Na wewe umekalia nini kuona ni Bashite ndie alimtekaUmekalia nini Wakati unaandika huu upuuzi wako hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukana lakini weka ushahidi. Na wewe umekalia nini kuona ni Bashite ndie alimtekaUmekalia nini Wakati unaandika huu upuuzi wako hapa??
Bar shite, rais wa KolomijeJeshi lazima limuhoji Hilo Hilo igizo lake Nani ni Director?
bavicha wana uhusiano gani na Roma? Tambua kuwa watanzania wengi wenye uchungu na pesa za Umma hawana vyama na wengine wengi ni CCM Nape wamechoka na manyanyaso na utumiaji wa pesa za umma kwa mambo ya hovyo hovyo.Bavicha bhana wamejazana kwenye huu uzi wakidhani ROMA alikuwa osterbay polisi. Roma kapatikana na kupelekwa kituo cha polisi Osterbay......
Roma hawezi akawa alitekwa na serikali maana hana cha kuitisha au kuzuia serikali....
Roma angekuwa yuko polisi wangelisema kama ilivyokuwa kwa Nay lakini kwakuwa mlishaaamua kumchukia mtu fulani basi mna msingizia kila jambo.
Sawa. Unaweza kutuelezea imekuwaje Roma apatikane Polisi ilhali jana polisi walisema hawafahamu alipo?Watanzania tunaongea sana yani mpka unajiuliza tunatumia kinywaji gani. Loo. Hivi Mtu hawezi kuchukuliwa na Mdai wake. Au mbaya wake nk. Hizi conclusions mwendo kasi. Zitafanya watu wabaya wafanye maovu na kuwaacha wananchi wasingizie watu fulani. Tumeshakuwa na majibu sasa tunasubiri maswali. Its very sad.
Nacho amin ni kwmba kama ni ile idara yetu nyeti imehusika watakuwa wamesha kanywa kuwa wasime vinginevyo zoezi litajirudia kwa namna nyngne so utaskia wahuska wanataftwasasa tujue nani yupo nyuma ya hii movie
Kwani ni umewaza hivyo HarakaIkiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Huchelewi kusikia ,Roma ni kheri unyamaze , chamsingi umepatikana ukiwa hai wasamehe tu Mungu ndio mlipaji wa yote.....Sasa roma atuambie alipokuwa!