Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Hapo utasikia "Alitekwa na majambazi so polisi kwa kushirikiana na raia wema walipambana nao hao majambazi mpaka wakafanikiwa kumuachia Roma Na wenzake na wao majambazi kutokomea kusikojulikana" ndio yale mambo ya Dr Ulimboka na mkasa wa Ramadhan Igondu
 
bavicha wana uhusiano gani na Roma? Tambua kuwa watanzania wengi wenye uchungu na pesa za Umma hawana vyama na wengine wengi ni CCM Nape wamechoka na manyanyaso na utumiaji wa pesa za umma kwa mambo ya hovyo hovyo.
 
Kina Babu Tale watoto wa mjini wale, waliposema hawamwogopi mkuu wa mkoa wanataka amtafute Roma alipo hawakua wajinga, Something is behind here, let's wait and see.
 
Sasa roma atuambie alipokuwa!
Sasa ni wakati wa ukweli kuwekwa wazi, tujue hao mateka ni akina nani!
Bila shaka hao hao wabanwe watuletee beni
 
Wasanii nao wagome kufanya muziki mpaka watekaji waombe radhi


Najaribu tu kuwaza kwa sauti
 
Sawa. Unaweza kutuelezea imekuwaje Roma apatikane Polisi ilhali jana polisi walisema hawafahamu alipo?
 
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Kwani ni umewaza hivyo Haraka
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?
 
MKE WA ROMA inabidi alipwe kwa Usumbufu alioupata kutoka kwa bashite paula manenepa.
 
Haya bashite umeshinda, ushapata kiki, ushaharibu attention ya mkutano wa NAPE huko mtama.. Rudisha flash ya clouds sasa.
 
Hawa wahuni wasije wakamgeuzia kesi ROMA. Maana hawakawii..!
 
Bashite: (noun)mostly associated with a a person whose decisions are controversial, lies, decent, self pride, mentally corrupted....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…