Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Duh! Mods wamebadili nilichoandika! Wakuu kama hamtaki tuonyeshe hasira zetu dhidi ya huyu dikteta uchwara basi mtwambie nini hatutakiwi kuandika humu.

Wewe mod uliyefuta nilichoandika sidhani kama Roma angekuwa nduguyo ungeona kasoro yoyote ile kwa kile nilichoandika.

Ni lazima Watanzania tuwe kitu kimoja ili kumpinga huyu ShilawaDU na Serikali yake dhalimu jinsi huu uhuni anaoufanya dhidi ya raia wasiokuwa na hatia yoyote. Kama hataki kukosolewa ajiuzulu au afuate katiba ya nchi badala ya kuongoza nchi kama nduli Idi Amin.
Sikitiko langu ni Kwa Wale wenzangu na mie ambao hata kwa Mwenyekiti wa Mtaa hatujulikani, je ukitekwa nani atajua umefanyiwa nini au umepotea? Mungu Aingilie kati Ujinga unaofanywa na Dikteta Uchwara huyu amuumbue.
 
Michezo ya hatari hasa ya Kimafia naijua na naifuatilia sana katika ' Sinema ' mbalimbali hivyo nilichokisema ni sehemu yangu ya msaada mkubwa tu Kwake na isitoshe sijamtuhumu yoyote juu ya kukamatwa Kwake bali nimemshauri tu tafadhali.
[emoji106]
 
Ni hizi skin tight ndiyo zinawatoa ujasiri wanaume wa Dar kila wakimuona Bashite
26689a059e11745896ffdd7e5e80963c.jpg


Halifichiki wee halifichiki ......
 
Kwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?
Leo Mbowe aseme Roma atapatikana kabla ya Jumatatu kwa maana ya kesho,akapatikana kweli hiyo kesho basi yeye atakuwa anahusika!
 
Jambo la kwanza ni kumshukuru Mungu ...
Halafu pili tunasema hivi watanzania hatuchezewi akili na Mungu anaona
Ili jambo mungu hausiki.maana ni mipango.kumshukuru mungu ni kama kumkejeli.wakati hyo ni movie.
 
Bavicha bhana wamejazana kwenye huu uzi wakidhani ROMA alikuwa osterbay polisi. Roma kapatikana na kupelekwa kituo cha polisi Osterbay......
Roma hawezi akawa alitekwa na serikali maana hana cha kuitisha au kuzuia serikali....
Roma angekuwa yuko polisi wangelisema kama ilivyokuwa kwa Nay lakini kwakuwa mlishaaamua kumchukia mtu fulani basi mna msingizia kila jambo.
Raund hii mtatetea hadi mkipigwa dole.
Mtekaji alisema atawaachia kabla ya jumapili.......Makonda anajua alipokuwa [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG]
 
Mabongo yanapenda kupiga domo kwenye kila kitu, hata wasichokijua vizuri - Ni domo domo domo kama chiriku
 
Back
Top Bottom